Jiwe_
Member
- Jul 18, 2013
- 24
- 30
Bado mkuuMkuu ulishapat unlimited ya halotel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mkuuMkuu ulishapat unlimited ya halotel
Atakaepata anijulishe ndugu naona ya fiber and GB specific zaidi ya hapo sioni unlimitedBado mkuu
Kachukueni voda hamtajutia ni 120k mnachanga pamoja na kupata huduma.Habari wakuu,naomba muongozo nahitaji nipate kifaa cha internet ambacho ni UNLIMITED.,watumiaji tupo kama 32.Je ni kifurushi cha bei gani kitatufaa kama staff?zingatia kwamba mimi ni mwalimu.🙏🙏
Habari wakuu,naomba muongozo nahitaji nipate kifaa cha internet ambacho ni UNLIMITED.,watumiaji tupo kama 32.Je ni kifurushi cha bei gani kitatufaa kama staff?zingatia kwamba mimi ni mwalimu.🙏🙏
Watu 30 kama mnajiweza mara nyingi kutoka 120k mpaka 150K ni kama mna double speed. Mfano Airtel kwa 150k ni 50mbps, kwangu naona hii ina value sana.Kachukueni voda hamtajutia ni 120k mnachanga pamoja na kupata huduma.
Kwa ranking za data from telecom naweza weka hivi in terms of speed.
1.Vodacom
2.Halotel
3. Tigo/zantel
4. Airtel
Ila kabla ya
Mkuu sikuona hii reply, bado hujapata maelezo , kama bado nikuelezeeMkuu unhetoa mfano sabbu Mimi nikenda kwenye lain yangu ya kawaida sizioni hizo optionz za kupata baundle kybwa za internate kwa reasonable price.Actually unakuta 2300 kwa 2 GB aharafu inasiha haraka
Hatua za mwisho unamaanisha nini mkuuNipo katika hatua za mwisho kuunganishiwa ttcl fiber, naomba kufahamu mambo ya muhimu wkt wanasajili router yangu
Cc chief mkwawa
Walichokifanya ule ni utapeliWalikua na wao na Sme kwa muda mfupi Sana ghafla zimepotea, sijui walipatwa na na nini. Zinapiga simu na internet ila mfano wake ni kama hizo line za Halotel za internet unapata GB nyingi kwa gharama ndogo.
Pia wana unlimited za 4G/5G sema hizo bei ndefu 115,000 kupanda.
@Chief -Mkwawa. Msaada nifanye nini hapo App yangu ya X haifunguki.Watu 30 kama mnajiweza mara nyingi kutoka 120k mpaka 150K ni kama mna double speed. Mfano Airtel kwa 150k ni 50mbps, kwangu naona hii ina value sana.
Cha muhimu mkuu angalia eneo lako kama kuna 5G, japo 4G pia inakubali ila vyema hakikisha kama 5G ipo, inasaidia sana kubeba capacity kubwa kama yenu.
Hapo wanataka kuhakikisha kama ni wewe, unaweza kulogin na browser ama click hio button ya Authenticate wanaweza kukwambia ufanye kitu fulani kufungua account.
Chief, Inafikia mpaka hatua hii ya mwisho lakini inagoma kufanya kazi.Hapo wanataka kuhakikisha kama ni wewe, unaweza kulogin na browser ama click hio button ya Authenticate wanaweza kukwambia ufanye kitu fulani kufungua account.
Ni Official app mkuu? Kama sio official hakuna update mpya?Chief, Inafikia mpaka hatua hii ya mwisho lakini inagoma kufanya kazi.View attachment 2973791
Gusa unate hao wazee! It is a trap, run away otherwise you will be scammed mchana kweupeeee..Kuna hawa watu hasa instagram wanadai wanaunga bandle GB 30 kwa 15k mitandao mbali mbali. Je ni kweli wana uwezo huo
0613 ni Halotel bana, Airtel ongeza 069655,713,714,613,67x ,77x ni tigo
688,78xx airtel
744,745,755 ni voda
73x ttcl
62x halotel
Halotel....hivi hii namba ni mtandao gani 255613
Mimi nawapa ushauri wabure Hawa ISP wetu sasa hivi watu wanataka urahisi wa matumizi ya hivi vifaa namaanisha routers.
Nawapa wazo mmoja kama itawezekana, kama internet inatumia Laini ya simu Ni Bora kuwepo na line ambayo MTU Ni unlimited ambayo utainunua Kwa Kwa 5000 au 10000 ila inakuwa na vifurushi vya unlimited Kwa mfano waanze na 40000 Kwa speed ya 10mbps, 70000 15 Mbps, 100000 20mbps, 130000 30mbps etc.
Laini hiyo iwe free Kwa MTU akijisikia kuweka bando aweke. iSp watapata faida kwenye manunuzi ya Laini na endapo MTU atanunua vifurushi kuliko huyu mfumo WA sasa hununui routers hupati Laini na still doesn't work kwenye simu ukiiweka hiyo Laini. Mimi naona makosa waliyofanya Ni kulazimisha ununuzi wa router na free router Kwa wale bando kubwa, ingebaki Kwa mnunuzi mwenyewe angependa router au bila router Laini kutokana na nature ya matumizi.
Wabaki na kuuza VIFURUSHI VYAO TU kuhusu router ibaki maamuzi ya mteja.
Mfano Mimi Nina router unaweka Laini yoyote ikontu but still siwezi kuwa na ya ziada for sake of lain zao na mara nyingi natumia Halotel wako vizuri Sana.
Jaribuni hii idea mtaona mwitikio wa wateja
Angalizo
Muwe WA kweli kwenye huduma mtakazo toa sio longolongo la speed au network coverage lazima iwe 4g 5g ili upate service
Ni Hayo
Mwenye wazo au aongezee akosoe it's for better
Io VP chifu NI true unlimited au unlimited ya kwenye makaratasiView attachment 2977430
Chukua Tigo. Laini zao zinakubali kwenye simu.
Ila kianzio ndio ukuta wa chuma.