Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu, waya umefika kwako kwa njia ya nguzo ama ardhini. Unaweza tuwekea speed test tuone details kama ping na mengineyo?.
 
TTCL ni Mbps 30 sio 20 (Hapo kuna kudownload na Kuupload)
Sio sahihi mkuu speed ya downlaod na upload haziunganishwi zipo separate ndio maana ukifanya speed test itakupa ya download na upload mfano utashusha kwa speed ya 20mbps ila ukifanya upload ni 10mbps sio 30mbps ingekua hivyo mbona ingekua furaha sana 🤣🤣🤣
 
Airtel hao, wangese sana
 
Issue ya internet naona inaendelea kwa kasi sana TZ nadhan miaka 2 ijayo watu wengi watakuwa na unlimited internet majumbano issue za bundle zitakuwa si saaana kama miaka 2 iliyopita

MFano airtel naona wadau wengi sana wanatumia sikuhizi tusubiri hizo fiber zifike huku kwetu ndani ndani mbezi tuchukue

So far airtel hainanshida sana kwangu ila mara moja moja speed ina drop ila zikija nyingine bei chee na uhakika tutaswitch kuona
 
Wewe
Wewe naona umesahau tabia za mbogamboga hapo tunawasubiria mujae wa kutosha halafu mtajua hamjui
 
Eneo nililoko ni 4G+.

Ila ikifika mida ya jioni, speed inakuwa mbovu, network inakuja na kukata, nikiingia online mfano X media zinafunguka very slowly.

Kiufupi hiyo mida network inakuwa tofauti na mida mingine..
Hii hata mimi imekua ikinisumbua, na inapokua 4G+ router hua inawaka taa nyekundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…