Nilifanya maombi ttcl kama sio 2021 ni 2022 wakaja wakachek wakaondoka nikafatilia sana nikapigwa danadana nikachoka Airtel alivyokuja na router za 5g nikajichukulia moja ya malipo ya 70,000 kwa mwezi sasa cha ajabu juzi kati hapa hao ttcl wakanipigia wakaniuliza bado naitaji huduma ya internet nikasema ndio wakasema mafundi wanakuja nikajua kama kawaida yao masaa kama 3 mbele nikaona mafundi wamekuja wakavuta fiber nikapewa control number nikalipa wakaleta router wakanifungia ila shida router yao ile user interface wamelock na hawatoai password ya kulogin kwenye router.Nipo moshi sijui kwa maeneo mengine