Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Pole sana hii ilinikuta pia mwaka jana mwezi wa 4 baadae ilikaa sawa
 
Ukitoka nje pia network hamna?
 
Pole mkuu, ila nadhani sehemu uliyoiweka ndo hakuna Network nzuri, jaribu kuhamisha hamisha kwenye nyumba hiiyo modem huenda kuna sehemu ina reception nzuri ya Network.

Kuna App ambayo inasaidia kujua wapi kuna reception nzuri ya Network, zinaitwa 1)Netspot 2)Wifi Analyzer 3)Ekahau HeatMapper, unaweza kudownload yoyote then washa modem yako unazunguka nyumba nzima kuangalia sehemu nzuri ambayo internet ipo strong then utaiweka hiyo modem hapo.
 
Naunga mkono hoja
 
Nenda kaitafute hiyo App ipo Google kai search maana mimi inanisaidia sana kwenye kuangalia mpira na haikwami kwami ata kidogo...
 

Attachments

  • Screenshot_20250103_133547_One UI Home.jpg
    179.9 KB · Views: 12
Inaitwa hiyo IPTv Mkuu?
 
Yes..ila asubuhi niliitest tena ikawa fresh mpaka 24mbps...shida hapo ni nini mkuu
Inawezekana hata 4G hapo kwako ni shida, cheza na hizo generation kwanza, kwenye menu ya router kama kuna option ya kuweka 4G only ama 3G only anza na moja moja, weka 3G only pima speed, weka 4G only pima speed, pia fuata ushauri mwengine huo wa kucheki signal mahala mbalimbali kwako, Hizi network za kisasa zinaathiriwa sana na vitu kama miti, majengo marefu etc.
 
I Ila asubuhi speed ilikuwa kubwa kabisa na eneo ilikuwa ni hapohapo..hapo shida nini?..
 
Okay Okay Boss
 
Wifi analyser..

Hapa vipi??

Lakini spidi ni 2-3mbps..

Hii location ndo ina strong signal??
 

Attachments

  • Screenshot_20250103-213427_WiFi Analyzer.jpg
    53.4 KB · Views: 18
Mkuu unaona hapa ni Asubuhi..

Hii spidi mbona siipati usiku na eneo nilipoweka Router sijabadilisha??
 

Attachments

  • Screenshot_20250104-072212_Chrome.jpg
    133.2 KB · Views: 15
  • 20250104_073530.jpg
    292.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20250104-070733_Chrome.jpg
    133 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…