Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Pole sana hii ilinikuta pia mwaka jana mwezi wa 4 baadae ilikaa sawaNimefanya a deadly mistake..
Leo nimenunua Router ya Airtel 5g ili nitumie home..nilivyokuwa Town spidi ilikuwa kubwa sana na taa ya 5g ilikuwa inawaka..kurudi home hamna kitu hata hiyo 4G hamna kufungua tu whatsapp pic mtihani..
Hapa naona nimepoteza 110k hivihivi..
Wenzangu mnaotumia hii kitu vipi??
Na je kuna option nyingine nzuri ya unlimited kwa Voda au Tigo??.. maana nimepima speed kwa kutumia simu naona zipo
vizuri kwa eneo nililopo