Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Washaanza kuboa hawa Airtel naona wanafanya nyendo za Tigo kupunguza mb's
Naona wamezipunguza kweli kweli yani duuh, toka 2GB kwa 1000 kwa siku tatu hadi 1GB kwa 2000 kwa siku tatu kweli vyuma vimekaza ndio maana wanataka wauze kampuni.
 
Naona wamezipunguza kweli kweli yani duuh, toka 2GB kwa 1000 kwa siku tatu hadi 1GB kwa 2000 kwa siku tatu kweli vyuma vimekaza ndio maana wanataka wauze kampuni.
umejaribu kuunga na airtel money kisha ofa kabambe (namba 6)
 
umejaribu kuunga na airtel money kisha ofa kabambe (namba 6)
Yes Chief huwa nanunua kwa airtel money ndio nimeshangaa vifurushi vimebadilika, ila ukiingia kwa menu hii *149*81*4# then namba 4 ndio kuna cha 1000 kwa 1GB plus hzo sms na dakika tofauti na kule kwenye menu ya airtel money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…