Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
SanaVodacom bado wapo vizuri
2000/- 5GB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaVodacom bado wapo vizuri
2000/- 5GB
kwa muda gani?Vodacom bado wapo vizuri
2000/- 5GB
Ni lazima line ya 4g ili upate bando hili la 5gb kwa 2000 voda ?Sana
mimi natumia kwa line ya 3G, sio lazima 4G.Ni lazima line ya 4g ili upate bando hili la 5gb kwa 2000 voda ?
Kwa muda gani?mbona hamjibu?Vodacom bado wapo vizuri
2000/- 5GB
Mwezi mzima.Kwa muda gani?mbona hamjibu?
Vodacom bado wapo vizuri
2000/- 5GB
Naona wamezipunguza kweli kweli yani duuh, toka 2GB kwa 1000 kwa siku tatu hadi 1GB kwa 2000 kwa siku tatu kweli vyuma vimekaza ndio maana wanataka wauze kampuni.Washaanza kuboa hawa Airtel naona wanafanya nyendo za Tigo kupunguza mb's
umejaribu kuunga na airtel money kisha ofa kabambe (namba 6)Naona wamezipunguza kweli kweli yani duuh, toka 2GB kwa 1000 kwa siku tatu hadi 1GB kwa 2000 kwa siku tatu kweli vyuma vimekaza ndio maana wanataka wauze kampuni.
Yes Chief huwa nanunua kwa airtel money ndio nimeshangaa vifurushi vimebadilika, ila ukiingia kwa menu hii *149*81*4# then namba 4 ndio kuna cha 1000 kwa 1GB plus hzo sms na dakika tofauti na kule kwenye menu ya airtel money.umejaribu kuunga na airtel money kisha ofa kabambe (namba 6)
Mmmh howMimi voda wananipa gb 5 kwa 2000
mbonaq me nimejaribu hii nimepewa mb 100 tuTigo
-1gb kwa shilingi 600
Nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
Nadhani offer ilisha isha muda kidogo.mbonaq me nimejaribu hii nimepewa mb 100 tu
Ishaiaha hiyo zaidi ya miezi mitatu iliyopitambonaq me nimejaribu hii nimepewa mb 100 tu
Voda ya kwakoMmmh how
Ndiyo yanguVoda ya kwako
samahani mkuu nimesahau kukitoa hicho kifurushi, siku hizi wamekibadili unapewa hizo mb 100.mbonaq me nimejaribu hii nimepewa mb 100 tu