Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Uje ununue kwangu
Gb1 kwa 1000
 
Mbona huamini mkuu
Kama una matumizi makubwa ya internet naweza kukupa GB 1 free ukatest
Sina matumizi makubwa!, sema kuna muda nakuwa nahitaji GB zakutosha!, hiyo GB moja kwamatumizi yangu naweza kukaa hata siku tatu!, hapo kama sina vibe na miziki lakini kama nina vibe ohoo! just one day kwisha!..πŸ˜‚
 
Kwa sasa nina hizi Router za Vodacom zote mbili, Moja ikiwa ni ya Ofisini na nyingine ni ya Nyumbani... Uwa nazijaribu kwenye Speed test ila hii ya Zamani iko juu kwenye speed na haikatikati mtandao kama hii mpya, Mpaka najiuliza kwanini Voda walizileta hizi mpya...
 

Attachments

  • 20250513_114804.jpg
    224.7 KB · Views: 45
Shukrani sana kwa sasa inapiga kazi vizuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…