Ttcl kwa mambo anayotufanyia , kutoboa kwenye competition ni ngumu sana, hasa kipindi hiki ambapo washindani wamekubali matokeo na kuanza kushusha beiSavanna anapiga price skimming akipata base na kishatoka ataanza kupandisha bei kama alivokuja Zuku vile. Na Zuku mwenyewe saivi 69k unapata 20mbps badala ya 10mbps. Competition ina heat up na TTCL mwenye mkonga wake anaachwa nyuma
Wale wa mwanzo mwanzo ndiyo walipatagahizi ZLT X28..Kwa wale wa Airtel kama unachukua waambie wakupe zile Smartbox ZLT X28 zina antenna nzuri za kukusanya mawimbi, zile ZLT X25 zina technologia mbovu na mtandao zinachagua maeneo hasa ukiwa nje ya mji ni tatizo kuna watu hadi wanazi zungushia FOIL ili kuboost signals.. ninapokaa nmefanya testing nmegundua hili kwa kuzilinganisha zote mbili uwezo, na pia kuna watu kadhaa nmewatumia kufanya haka ka research wame thibitisha hili..
Nilipo Airtel ndiyo inaongoza kua na mtandao wenye speed yaani kwa simu napata mpaka 80Mbps bando la kawaida na ping yake ndogo sana... Ila nilitumia routers 2 tofauti za watu hizi za Airtel nikapima performance ni mbovu hizi ZLT X 25 ila kwa zile ZLT X28 ilikua bora zaidi nilipata speed nzuri kulingana na kifurushi kilichokuepo..
YAS 5G kifurushi cha 70K data cap ni kiasi gani.Soz toka juzi speed ya Airtel Router ilishuka ikawa chini ya 2Mbps.
Leo nimeenda HQ wamesema DATA CAP ya kifurushi cha 70K ni 500GB..
Sijajua hii wameanzisha lini, ila toka nianze kuwatumia Airtel 2023 sijawahi kusikia habari za limit ya 500GB, na nina uhakika huwa napita hiyo limit.
Na hivi kwa sasa wanatoa 20Mbps, basi kuifikisha hiyo data cap ni chap sana..
Anauza bei gani??line za.safariNimeona, ila naona jamaa wa AliExpress wanauza kwa slot, mimi nilikuwa nahitaji moja tu.
Data cap za yas ni ya Kila siku. Kama ni wanakupa speed uliolipia kama 70K Basi itakuwa 10GB kwa siku alf speed wanashusha kama wanakupa full speed Basi itakuwa 36GBs Lkn zikiisha internet hupati mpaka ifike saa6 usikuYAS 5G kifurushi cha 70K data cap ni kiasi gani.
Duuuh! Sasa kumbe TZ hatuna unlimited tu, tunauziwa bando za kupima GBs nyingi kiasi kwa mgongo wa Unlimited [emoji23][emoji23] wamekuja kwa mbinu zao wameteka watu then wameanza kuzingua sasa daah!Data cap za yas ni ya Kila siku. Kama ni wanakupa speed uliolipia kama 70K Basi itakuwa 10GB kwa siku alf speed wanashusha kama wanakupa full speed Basi itakuwa 36GBs Lkn zikiisha internet hupati mpaka ifike saa6 usiku
Wengine wanasema ni 400GB hicho cha 70k duuh alafu kile cha 110k data cap ipo kwenye 1TB (1000+GB)Soz toka juzi speed ya Airtel Router ilishuka ikawa chini ya 2Mbps.
Leo nimeenda HQ wamesema DATA CAP ya kifurushi cha 70K ni 500GB..
Sijajua hii wameanzisha lini, ila toka nianze kuwatumia Airtel 2023 sijawahi kusikia habari za limit ya 500GB, na nina uhakika huwa napita hiyo limit.
Na hivi kwa sasa wanatoa 20Mbps, basi kuifikisha hiyo data cap ni chap sana..
Unaweza fanya, ila kuwa makini na watu utakaokuwa unawauzia huduma.Kwani iyo router kubwa ya airtel wanauza bei gani kwa sasa? Na nataka ninunue niweke hapa mtaani niokote buku kwa siku naona hakuna anaefanya hili huku kwetu mnanishauri vipi wadau?
Au niachane na hili wazo
Huyu nilipo sioni mtu mjanja kiasi hicho mkuu nipo mkoani watu wanawaza sana mitandao ya kijaa tu, na vipi buku inaweza faa au itakuwa hasara nitashindwa kulipiaUnaweza fanya, ila kuwa makini na watu utakaokuwa unawauzia huduma.
Kama upo eneo lenye mtandao vizuri na ikitokea una mtu wa kushusha mafaili makubwa makubwa kama mimi, kuifikia data cap ya GB 500 ni siku kadhaa tu. HASARA!!!
Kama wateja ni watumiaji wa kawaida, facebook, tiktok, WhatsApp.Huyu nilipo sioni mtu mjanja kiasi hicho mkuu nipo mkoani watu wanawaza sana mitandao ya kijaa tu, na vipi buku inaweza faa au itakuwa hasara nitashindwa kulipia
Hawa ndo bure kabisa, nasikia kwa siku wana limit 15gb, ukifikisha hizo wanapunguza speed mpaka 1Mbps.YAS 5G kifurushi cha 70K data cap ni kiasi gani.
Anyway, ni kama walikuwa wanatubeep maana toka jana speed imerudi kawaida. Japo nikiwasha VPN inashuka tena mpaka 2Mbps.Wengine wanasema ni 400GB hicho cha 70k duuh alafu kile cha 110k data cap ipo kwenye 1TB (1000+GB)
Inakusumbua kivupi bro, nijuze mwenyew natak niingie halotel m2mNahitaji hii connection. Halotel unlimeted yao ya 50k inanitesa.
Through partner wp yan unamaanisha?Yas 50k kwa mwez through partner wao
Process zake kupata inakuwaje bro?Nimeifunga geto nainjoy tuuh mwendo wa kustream tuuh
Kwamba ata ukimaliza izo 24gb kuitafta iyo 100speed ndo haifiki ata 1mbps au baada ga iyo 100wanatoa 100GB mwezi, 24gb za kwanza speed kubwa hadi 25mbs, zinazofuata speed haifiki hata 1mbs
Ile router ya 4g, 99k mrejesho wa waloitumia haujaskia bro kma iko poa au inasumbua?Hawa ndo bure kabisa, nasikia kwa siku wana limit 15gb, ukifikisha hizo wanapunguza speed mpaka 1Mbps.
Ni bora unipe cap ya 500gb kwa mwezi mzima ili nijue nabalance matumizi vipi, siyo kunipa 15gb kwa siku. Je kama nataka ku download kitu cha 50gb?
VPN inaweza slow down au speed up kasi ya mtandao kutegemeana na systems zilivyosukwa na wahusika sijui unalitambua hili? Sasa huenda firewall yao Airtel ina filters VPN connections za outside servers kwa kutambua ya kua huenda kuna watu watataka kubypass speed limit kwa VPN..Anyway, ni kama walikuwa wanatubeep maana toka jana speed imerudi kawaida. Japo nikiwasha VPN inashuka tena mpaka 2Mbps.
Au mitandao wameamriwa wabinye speed kwa watakaowasha VPN?
Hapa bila VPN:
View attachment 3443941
Hapa nimewasha VPN:
View attachment 3443942