Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa kweli napenda sana modem hata isipokuwa na vya ziada. Kumbuka lengo ni kupachika line ya halotel tu.

Vipi, hiyo modem yangu ya airtel inaweza kutoka lock?.
 
Nitaifikiria hii.
 
Kwa kweli napenda sana modem hata isipokuwa na vya ziada. Kumbuka lengo ni kupachika line ya halotel tu.

Vipi, hiyo modem yangu ya airtel inaweza kutoka lock?.
Hizo portable MiFi una pachika laini pia mkuu yoyote maana ni universal 😂😂 sasa unataka ku hangaika na kutoa lock hizo gharama si ununue unlocked hiyo ufunge mkataba... Hiyo itafanya chochote unacho taka, kama ni SMS utasoma na kujibu kww kupitia App yao maalumu ya Alcatel App Link..
 
Shukrani kaka nafuata huu ushauri.
 
Kifurudhi cha elfu 70 cha airtel kwa sasa ni mbps 25 na si 10 tena?
 
Mchuano unazidi kuwa mkali
Shida FUP sasa haya ma speed yanaibua vitu vingi... Hizi speed Halotel wameanza zitoa kimya kimya kabla ya hii notes ni week 3 hivi kama sio mwezi niliona WiFi za jamaa zangu wenye Halofiber zinatembea sana nikataka kujua kama wamenunua package kubwa wakadai ni zile zile tu za 55k ila speed imeongezeka..
 
Hivi Mtu akitaka kununua flash anangalia ubora upi na ambayo sio feki ipoje na original ipoje nidadavukie hapo mkuu
1. Unajaza kitu/vitu vya size ya flash husika ili usije uziwa flash ya GB nyingi kumbe uwezo halisi ni mdogo. Zipo software za kuhakiki hili


Alternative


2. Pima speed ambayo ipo advertised, flash nzuri zinakua na speed kubwa ya kusafirisha data, hamisha kitu baina ya flash na kifaa chako kupima, vyema liwe file kubwa. Hili liende sambamba na point ya mwanzo sababu flash inaweza report file linaingia kubwa inakudanganya na speed ikawa feki.

3. Tumia website/software za manufacture, kampuni kubwa kama SanDisk, Samsung etc Wana software ama website page za kuhakiki.

Sema mkuu unless unanunua online store za manufacture, kibongo bongo ngumu Sana kupata flash OG, tafuta Tu yenye unafuu, speed angalau iwe 10MBps kupanda juu na capacity iwe ya kweli.
 
Sawa uonavyo wewe kampuni Gani au majina Gani ya flash unapendelea unaweza kuchukua
 
Sawa uonavyo wewe kampuni Gani au majina Gani ya flash unapendelea unaweza kuchukua
Most of time SanDisk sema feki pia zipo nyingi, Toshiba (kioxia), Kingston, Samsung pia ni wakongwe wa memory.

Alternative pia consider SSD, tafuta kasha la nje la nvme nunua SSD ndogo GB 64 ama 128 size wise haitofautiani Sana na flash na speed kwenye SSD ni kubwa na mtumba mingi mtaani ni og wanachomoa kwenye laptop.
 
Wakuu kuna mdau apa anatumia fiber ya halotel anipe experience yake
Nimetumia Tu kwa washkaji 2 times ilikua so and so, hupati Ile peak speed kabisa, sema kwa matumizi ya kawaida huwezi ku realize ina stream na kubrowse bila shida, Ila kama ni Enthusiast na unataka upate 60mbps kamili ulizia zaidi Hasa mtaani kwako kwa wenye nayo, ikiwezekana pima mwenyewe.
 
Mshkaji wangu nilimwambia atest... Analipia kile kifurushi cha 79k
 

Attachments

  • VID-20260818-WA0012.mp4
    5.9 MB
Nimechana nao hao Kenge, wamezuia huduma ya kuangalia salio...unatumia tu kama kipofu! Nadhani ni mbinu ya wizi
Itakua ni wizi kweli maana nilinunua GB 18 zile za 15k mwezi kwenye laini ya M2M ili niweke kwenye portable MiFi yangu niwe natembea tu na uhakika wa kua online, huwezi amini matumizi ya kawaida tu zilikata hata week haijafika.. bahati mbaya kumbe kwa router nimeweka tarehe ya reset data tarehe hiyo hiyo GB zimeisha so ili reset data usage daah nikashindwa kutrace back nimetumia kweli hizo GB 18 ndani ya siku 4 tu tena kwa matumizi ya kuchat tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…