Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sema wakuu nini TTCL wameadvance kwenye kufungia wateja FIBER. Sasa hivi wako very fast na naona wapo wengi wanaofunga hizi, mimi baada ya kulipia tu nikapokea simu jamaa kaja, mara sijui kuna kifaa gani kilizingua, nikapigiwa na mwingine ndani ya muda mchache akarebisha.
 
Acha kutupanga ACHA KABISA

Nawatumia wao na halotel aisee ikitokea shida hao TTCL na speed zao za kobe ni kama wanatokea Bulili, Mwanza kuja kutatua tatizo la Ilala

Sim hawapokei, huduma mbovu, wahudumu wana sauti mbaya
I hate TTCL
 
Acha kutupanga ACHA KABISA

Nawatumia wao na halotel aisee ikitokea shida hao TTCL na speed zao za kobe ni kama wanatokea Bulili, Mwanza kuja kutatua tatizo la Ilala

Sim hawapokei, huduma mbovu, wahudumu wana sauti mbaya
I hate TTCL
Pole sana Mkuu ila mimi nimeongea kwa kile ambacho kilitokea kwangu, pia last week au kama wiki mbili zilizopita net haikuwepo kama kwa siku 4 hadi 5 hapo ndio nikajua kweli Waafrika sisi bado ila nilivumilia sababu wadau humu walitamka mapema kuwa jamaa wanazingua. Yote katika yote, speed yao ni kali. File la 6GB unaliteremkaha haraka sana.
 
Neso?
 
Maoni yako yanaweza kuwaponza wengi hasa wale wanao search google moja kwa moja wataona maoni yako na watajichanganya.

TTCL generally kama mtandao si wa mtu kutumia kama hautaki siku moja uwe na kinywa kichafu, kuwa na sonona na hata kufanya makosa ya kimtandao maana utawapigia uwatukane matusi makubwa makubwa

Kwanza hela yako inaanzaje kukutesa mbwa wale

KAMA HUTAKI KARAHA KAA MBALI NA TTCL
 
ha ha ha mkuu wasamehe, good news hapa mtaani kwetu ni kwamba VODA pia wanataka waje watembeze FIBER na wameshapita kugawa vipeperushi ila wao wana bei kuliko TTCL. Ila hii speed ya TTCL wakuu ni balaa. Naona tofauti kubwa saaana na ODU za Airtel.
 
Hatimaye umefanya maamuzi na kufunga TTCL πŸ˜‚ mkuu..
 
Hawawezi, kampuni za internet bongo zimekaa kimkakati kumkandamiza mtumiaji... Kacheck site ya Safaricom Kenya wameweka FUP wazi kabisa kila kifurushi kwenye CPE 5G zao...
Ni kweli mkuu, Safaricom wameweka wazi kila package ina data limit kiasi gani..

Na bei zao ni rafiki sana, 100Mbps ni roughly 100K kwa rate ya Tanzania.



 
Ni kweli mkuu, Safaricom wameweka wazi kila package ina data limit kiasi gani..

Na bei zao ni rafiki sana, 100Mbps ni roughly 100K kwa rate ya Tanzania.
View attachment 3661678

View attachment 3661679
Noma mkuu, hicho cha 50mbps ni kama 80k hiyo uki convert, sema kuipata hiyo 4000 au 5000 kwao sio mchezo vilevile! πŸ˜ƒ Kacheck prices za Fibers mzee huko ndo utacheka, bei za nyanya kuna kampuni moja ya Fiber niliiona daah prices zao speed na capacity wanazo offer ni zaidi ya affordable na customers feedback ilikua positive asilimia kubwa... Nikiikumbuka nta share hapa link, Kenya wametupiga gape kubwa sana kwenye techs..
 
Sasa hivi wapo serious sana na kazi, binafsi makosa yao yote nimewasamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…