Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

mhh nmefuatiliaa huu uzi nakutana na malalamiko ya watu kutapeliwa ...wengine janjajanja tu....hawana lolote..na wewe ambae una ujuzi kwa nini usiuweke hapa hadharani??Kila mmoja anufaike???Acheni ubinafsi huo watanzania
 
Hakuna sehemu nimesema umemtusi ila ukiweka mambo sawa inakuwa poa
haya mambo ya kuitana matapeli sio jambo zuri wakati wengine huduma ilikubali fresh tu. Fanya kuwarekebishia kama inawezekana ili kuondoa hizo dosari.
 
mhh nmefuatiliaa huu uzi nakutana na malalamiko ya watu kutapeliwa ...wengine janjajanja tu....hawana lolote..na wewe ambae una ujuzi kwa nini usiuweke hapa hadharani??Kila mmoja anufaike???Acheni ubinafsi huo watanzania
Hahaahaa yawezekana kuweka ila itacost tena pakubwa itakuwa BONGE LA KESI.
 
Naomba kufahamu.
Vocha za Airtel uni bado zipo au ?
Nina line ila supplier niliokuwa nawategemea kuzipata wananiambia walisitisha.
Na kama ni hivyo ninapendekeza uzi ufanyiwe marekebisho kwenye kipengele cha vifurushi vya airtel
 
Wadau

Mbona huku kwetu line za voda za chuo zinauzwa wengine wanauza buku wengine 3000 mpaka 5000/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…