Hichi kitu kinaniboa sana sema kwa mimi naona ikifika saa nane usiku nazima nawasha upya ndio spidi inakaa kwenye 1MBps.Ahahaha pole mkuu. Mwanzoni walikuwa wananila hivyohivyo sema nmegundua kasehemu nikiweka mifi yangu bundle nalifaidi balaa..!
Ahahaha pole mkuu. Mwanzoni walikuwa wananila hivyohivyo sema nmegundua kasehemu nikiweka mifi yangu bundle nalifaidi balaa..!
Dirishani hapa hapa room..! [emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kasehemu gani hako kiongozi.
Dirishani hapa hapa room..! [emoji6][emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unajiungaje iyo mkuu maana na halo hapaHalotel mi ikisha fikaga saa 6 usiku mi uwa najiunga kifurushi Cha buku free net mpaka asubuhi asee naachaga tu mzigo Torrent hata gb 20 asubuhi nakuta umemaliza
nahitaji unganishwa nicheki kwa namba hii 0753039955Unganishwa na vifurush vya miezi mitatu. *Vodacom* *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 1200 mitandao yote. SMS 5000 na 10GB kwa *VODACOM* Kwa Shillingi 8,000 *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 750 mitandao yote, SMS 5000 na 10 GB kwa Shillingi 6000.
For inquiries njoo inbox.
"Ideas are easy but Implementation is hard."
*148*66#unajiungaje iyo mkuu maana na halo hapa
Unakipataje hiki mkuu[emoji41]View attachment 871089
Vodacom vifuryshi vya chuo
Kwa siku
Kwa wiki
Namba ya kumbukumbu ni 212121 nilifanikiwa aisee ila sitakaa ninunue tena bundle kwa ttcl coz katika hizo GB10 hata MB100 sijatumia wakuu.
Na hapo niliacha i-download movies tangu saa 6 usiku mpaka asubuhi kuja kuamka movie hata robo haijafika aisee. Na hiyo nipo Dar Tabata.
Voda wako vizuri aisee.
Sio tabata tu huku mikoani ndo shida pamoja na Roaming yaoTtcl tabata inazingua sana ipo very slow
Kumbe tupo wengi Ttcl Tabata ni majanga, iwe usiku, iwe mchana.mimi pia tabata ipo slow sana
Tabata ttcl mbona iko VIZURI TU ndo Mimi naitumiaKumbe tupo wengi Ttcl Tabata ni majanga, iwe usiku, iwe mchana.
Mimi nikiongelea ubora wa Internet namaanisha nikitumia Vodacom ikiwa vibaya spidi ni 30 Mbps ikiwa vizuri inacheza 40-60 Mbps. Lakini kwa Ttcl spidi ni 3 Mbps ikipanda sana tena kwenye saa 9 za usiku inafika 11 Mbps <-- hizi spidi ni zakijinga kwa mtandao wa 4G. Wewe kama unaridhishwa na hizi spidi ambazo unaweza pata kwenye mitandao ya HSPA+ kama halotel au hata airtel basi ni wewe au labda kwako unapata spidi nzuri zaidi hatuwezi jua.Tabata ttcl mbona iko VIZURI TU ndo Mimi naitumia
Mimi nikiongelea ubora wa Internet namaanisha nikitumia Vodacom ikiwa vibaya spidi ni 30 Mbps ikiwa vizuri inacheza 40-60 Mbps. Lakini kwa Ttcl spidi ni 3 Mbps ikipanda sana tena kwenye saa 9 za usiku inafika 11 Mbps QUOTE]Wewe Acha maneno ya kukejeli.je ulishawahi kutumia halotel?
Mimi nikiongelea ubora wa Internet namaanisha nikitumia Vodacom ikiwa vibaya spidi ni 30 Mbps ikiwa vizuri inacheza 40-60 Mbps. Lakini kwa Ttcl spidi ni 3 Mbps ikipanda sana tena kwenye saa 9 za usiku inafika 11 Mbps QUOTE]Wewe Acha maneno ya kejeli.je ulishawahi kutumia halotel?
Nawahama rasmiVoda wameharibu kazi aiseeh bundle zao za chuo zimekua mara mbili ya gharama yaani wamepandisha asilimia 100 ngoja tuendelee kukomaa na Magumashi[emoji28]