Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Unganishwa na vifurush vya miezi mitatu. *Vodacom* *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 1200 mitandao yote. SMS 5000 na 10GB kwa *VODACOM* Kwa Shillingi 8,000 *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 750 mitandao yote, SMS 5000 na 10 GB kwa Shillingi 6000.
For inquiries njoo inbox.

"Ideas are easy but Implementation is hard."
nahitaji unganishwa nicheki kwa namba hii 0753039955
 
Vodacom vifuryshi vya chuo

Kwa siku

b70a1cd29ba7689c33db23b33f6e9a4a.jpg



Kwa wiki

1ef7d9488382e72136121a61f5a08a58.jpg

Unajiungaje hapo mkuu
Nikimaanisha unapiga/kubonyeza namba gani hadi kuipata option hio??
 
Namba ya kumbukumbu ni 212121 nilifanikiwa aisee ila sitakaa ninunue tena bundle kwa ttcl coz katika hizo GB10 hata MB100 sijatumia wakuu.

Na hapo niliacha i-download movies tangu saa 6 usiku mpaka asubuhi kuja kuamka movie hata robo haijafika aisee. Na hiyo nipo Dar Tabata.

Voda wako vizuri aisee.

Ttcl tabata inazingua sana ipo very slow
 
Tabata ttcl mbona iko VIZURI TU ndo Mimi naitumia
Mimi nikiongelea ubora wa Internet namaanisha nikitumia Vodacom ikiwa vibaya spidi ni 30 Mbps ikiwa vizuri inacheza 40-60 Mbps. Lakini kwa Ttcl spidi ni 3 Mbps ikipanda sana tena kwenye saa 9 za usiku inafika 11 Mbps <-- hizi spidi ni zakijinga kwa mtandao wa 4G. Wewe kama unaridhishwa na hizi spidi ambazo unaweza pata kwenye mitandao ya HSPA+ kama halotel au hata airtel basi ni wewe au labda kwako unapata spidi nzuri zaidi hatuwezi jua.
 
Mimi nikiongelea ubora wa Internet namaanisha nikitumia Vodacom ikiwa vibaya spidi ni 30 Mbps ikiwa vizuri inacheza 40-60 Mbps. Lakini kwa Ttcl spidi ni 3 Mbps ikipanda sana tena kwenye saa 9 za usiku inafika 11 Mbps QUOTE]Wewe Acha maneno ya kukejeli.je ulishawahi kutumia halotel?
 
Mimi nikiongelea ubora wa Internet namaanisha nikitumia Vodacom ikiwa vibaya spidi ni 30 Mbps ikiwa vizuri inacheza 40-60 Mbps. Lakini kwa Ttcl spidi ni 3 Mbps ikipanda sana tena kwenye saa 9 za usiku inafika 11 Mbps QUOTE]Wewe Acha maneno ya kejeli.je ulishawahi kutumia halotel?
 
Voda wameharibu kazi aiseeh bundle zao za chuo zimekua mara mbili ya gharama yaani wamepandisha asilimia 100 ngoja tuendelee kukomaa na Magumashi[emoji28]
 
Back
Top Bottom