Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hapo kwenye tigo kifurushi cha 600 cha 1GB ni kwa siku au wiki??
 
Uzuri wa haloteli ni kwamba ukinunua bando kwa haloppesa nyongeza ni 30% kwahiyo kifurushi cha 500/ unakinunua kwa 385/ ...Km unataka cha 1000/ unanunua bando la 770/ tu
Tatzo hao mawakala wa Halopesa siwaoni.
 
Tigo vifurushi vya chuo washapunguza @1500 unapata DK 80, MB-500 for 7 days Wakati awali ilikuwa DK 130, 1GB @1500 TZS

Baada ya tukio hili ambalo kwangu limetokea juzi nahama tiGO ingawa sijajua nielekee wapi maana nimekua natumia huu mtandao kwa miaka mingi sana ila hakuna namna.
 
Mm nimeingia ttcl na sijajutia spidi yao ni nzuri sana ukipata line ya chuo unapata unafuu wa vifurushi....kitendo cha kuifanya instagram isitumie bando langu nimekifurahia maana insta ndio inameza sana mb
 
Mbona hiyo ya voda *149*03# sipati hiyo bali naona ni muda wa maongez tu?
 
Mkuu hiyo ya tigo *104*......*03# ya 1gb kwa 600 ukieka vocha ya 1000, inakataa au hakipo?
 
nitajie sehemu ambayo tigo nibora kuliko mitandao mingine
mkuu most of times mikoa ambayo Tigo wana 4g ujue wanakuwa na speed zaidi, na pembezoni mwa dar pia wana speed zaidi sababu wao coverage yao ni kubwa kushinda 4G za voda na TTCL,

mfano kwa Tanga napata around 30mbps kwenye tigo 4g, hakuna mtandao unaofikia hata nusu ya hapo kwa iliobakia,

kivule pia 4G ni ya tigo tu, around 20mbps hakuna mwengine unaofikia hata nusu yake.

tafuta kifaa cha 4G mkuu, kama ipo eneo lako
 
Jamani Sina hamu na Tigo, kuna siku nimenunua bando la GB 10 kwa mwezi lile la 2000 ila sikubahatika kutumia hata MB 100 mpaka mwezi umeisha. Yaani ilikuwa slow sana, yaani kwa sasa line nimeitelekeza imebaki ya makumbusho tu
Hii unajiungaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…