Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
Duuuuuh👻👻👻👻👻👻
View attachment 2309991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuuh👻👻👻👻👻👻
View attachment 2309991
Nini hii mkuu[emoji317][emoji317][emoji317][emoji317][emoji317][emoji317]
View attachment 2309991
Chief, kuna simu mpya SamsungA.73 ukiweka data on battery inapungua haraka ndani ya muda mfupi unakuta asilimia zinashuka..kupimiwa
Sisi wa Manzese Midizini vipi imepita ?Tumefika mzee baba[emoji16]
#RudiNyumbaniKumenoga
Nenda setting kisha battery angalia hio charge inamalizwa na nini?Chief, kuna simu mpya SamsungA.73 ukiweka data on battery inapungua haraka ndani ya muda mfupi unakuta asilimia zinashuka..
Tatizo laweza kuwa ni nin?
Maana battery ina 5000MAh na ni mpya kabisa.
Tatizo sio Mr kiuno, wanaounga vifurushi wapo wengi nchi nzima. Sema Tigo wenyewe walipiga Pini Kama walivyopiga Pini free Calls.
Na ni watu wote hata wale walionunua simu Tigo Shop wakapewa free GB nao wameathirika. Cha umuhimu kabla bando lako halijafika nunua vocha za kukwangua ya 2000 halafu usikilizie, litaingia Automatically, Otherwise usubiri mwezi unaofata.
Huyu jamaa wa kuitwa mr kiuno kanifanya nionekane tapeli...masela wangu niliwashawishi wakalipia baada ya wiki kadhaa tukapigwa pini...jamaa wananikazia hadi sio vizuri
[emoji3]Daah namimi imenikuta hii kitu aisee kuna mdada mmoja kaniunga na izo bando nkakonnektisha watu around kumi hivi khee bando zmekuja kuzima kama luku daah [emoji23][emoji23]
Au nasema uongo ndugu zangu?Wale wanaounga vifurushi vya ttcl wamepotea kabisa jukwaani🤣🤣
Umepotea mkuu huonekani?TTCL hatukati bando lako tumia mpaka umalize mwenyewe. hamna kikomo cha Muda
Gb15 kwa 20k
Gb30 kwa 30k
Gb50 kwa 50k
Gb70 kwa 60k
Gb90 kwa 80k
Gb120 kwa 90k
Gb150 kwa 100k
( Kila ofa ina dakika 700 za mitandao yote na SMS 1000 kwa mwaka1)
Nipe madiniTHOR DROID VPN NI ZAIDI YA KULAMBA SUKARIIIIIIII FREEEEEE INTERNET HAPA NA COMMENT with this droid vpn bila hata mb za kuweka
Ongeza maelezo kidogo namna ya kujiunga.THOR DROID VPN NI ZAIDI YA KULAMBA SUKARIIIIIIII FREEEEEE INTERNET HAPA NA COMMENT with this droid vpn bila hata mb za kuweka
Itakuwa tapelUmepotea mkuu huonekani?
Lete vitu hivyooTHOR DROID VPN NI ZAIDI YA KULAMBA SUKARIIIIIIII FREEEEEE INTERNET HAPA NA COMMENT with this droid vpn bila hata mb za kuweka
Andika KIUMENIMe UPDATE. ADDITIONAL MB 100 NOW NI 300MB ipo kazi fatmsta na commennt by using hiyo bypass security hahahha asaliiiiiiiiiiiii tamuuuuuuuuuuu hahahahhahaha
Mfate huyu Shaffin SimbamweneLete vitu hivyoo
Nimesubiria Sana ujibiwe na Mimi nichukue madini Ila watu kimya.Hi ni VPN gaani inafanya kazi kwa voda???
Mwezi wa 8 ndo huu, tunafanyaje mkuuVODACOM PACKAGE
SIKU YA KUUNGA ITATANGAZWA SIO MUDA
NB.VIFURUSHI VYOTE NI VYA MWEZI MMOJA TU.
1.Pata GB 16 Kwa Tsh.20,000.
2.Pata GB 7 & Dk 1200{ Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.20,000.
3.Pata GB 32 Kwa Tsh.40,000.
4.Pata GB 23 & Dk 1200{Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.40,000.
5.Pata GB 14 & Dk 2400{Yote}+Sms 1000 Kwa Tsh.40,000.
6.Pata GB 48 Kwa Tsh.60,000.
7.Pata GB 39 & Dk 1200{Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.60,000.
8.Pata GB 21 & Dk 3600{Yote}+Sms 1500 Kwa Tsh.60,000.
Nb.Pia Gb 64, Gb 80,Gb 96 & Gb 112 Na Kuendelea Zinapatikana..Lakini Kila GB 16 ni Tsh.20,000.
NB:Tuma namba Mapema, Tar 10 Tunaunga baada ya hapo Tutaunga tena mwezi wa 8