Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Chief, kuna simu mpya SamsungA.73 ukiweka data on battery inapungua haraka ndani ya muda mfupi unakuta asilimia zinashuka..
Tatizo laweza kuwa ni nin?
Maana battery ina 5000MAh na ni mpya kabisa.
Nenda setting kisha battery angalia hio charge inamalizwa na nini?
 
Tatizo sio Mr kiuno, wanaounga vifurushi wapo wengi nchi nzima. Sema Tigo wenyewe walipiga Pini Kama walivyopiga Pini free Calls.

Na ni watu wote hata wale walionunua simu Tigo Shop wakapewa free GB nao wameathirika. Cha umuhimu kabla bando lako halijafika nunua vocha za kukwangua ya 2000 halafu usikilizie, litaingia Automatically, Otherwise usubiri mwezi unaofata.

Nlishafanya hvyo lakini wapiii
 
Huyu jamaa wa kuitwa mr kiuno kanifanya nionekane tapeli...masela wangu niliwashawishi wakalipia baada ya wiki kadhaa tukapigwa pini...jamaa wananikazia hadi sio vizuri

Daah namimi imenikuta hii kitu aisee kuna mdada mmoja kaniunga na izo bando nkakonnektisha watu around kumi hivi khee bando zmekuja kuzima kama luku daah [emoji23][emoji23]
 
VODACOM PACKAGE

SIKU YA KUUNGA ITATANGAZWA SIO MUDA

NB.VIFURUSHI VYOTE NI VYA MWEZI MMOJA TU.

1.Pata GB 16 Kwa Tsh.20,000.

2.Pata GB 7 & Dk 1200{ Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.20,000.

3.Pata GB 32 Kwa Tsh.40,000.

4.Pata GB 23 & Dk 1200{Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.40,000.

5.Pata GB 14 & Dk 2400{Yote}+Sms 1000 Kwa Tsh.40,000.

6.Pata GB 48 Kwa Tsh.60,000.

7.Pata GB 39 & Dk 1200{Yote}+Sms 500 Kwa Tsh.60,000.

8.Pata GB 21 & Dk 3600{Yote}+Sms 1500 Kwa Tsh.60,000.

Nb.Pia Gb 64, Gb 80,Gb 96 & Gb 112 Na Kuendelea Zinapatikana..Lakini Kila GB 16 ni Tsh.20,000.

NB:Tuma namba Mapema, Tar 10 Tunaunga baada ya hapo Tutaunga tena mwezi wa 8
Mwezi wa 8 ndo huu, tunafanyaje mkuu
 
Back
Top Bottom