Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Aisee..
Strangers kama wotee[emoji134][emoji134]
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee..
Hahahaha hatareee boss hawa ndio nilitaka niwablacklistAisee..
Strangers kama wotee[emoji134][emoji134]
Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
Mkuu hayo majaribio ya kubadili password ulikuwa ukiyafanya kupitia mfumo wa wireless au wired?Hii ni app ninayo kwenye simu nimejaribu kwenye router ya jirani imesoma hapo kwenye ip..kuchangr adress etc but yangu ni nehView attachment 2762144
Kupitia wired mkuu niliunganisha na pcMkuu hayo majaribio ya kubadili password ulikuwa ukiyafanya kupitia mfumo wa wireless au wired?
Duuuh basi mpaka hapo hiyo Router itakuwa na shida.Kupitia wired mkuu niliunganisha na pc
Kama Unataka router kupewa bure Basi Lazma uwe na license ya biashara bila Ivo watakuambia ununue router zaoHivi leseni ya biashara ni kazima?
TIN tuu haitoshi?
Sawa chiefDownload browser yenye adblock kama | Ccleaner browser | CCleaner Browser
Au
Weka extension hizi kwenye Chrome/Firefox
View attachment 2761968
Mkuu nilichogundua ni kuna ujanja wamefanya coz siku ile wananiunga na kunipa hii router defult ilikuwa inasoma huawei 4g na huawei 5g after that wakaniambia nipendekeze jina la wifi ninalotaka na password then wakatuma makao makuu after five minutes nipo na wale mafundi ikaja vile kama nilivyopendekeza.so inamaana hizi router zote wanazicontrol na kuzimanage wao.hapo ujanja nikujua wanafanyaje fanyajeDuuuh basi mpaka hapo hiyo Router itakuwa na shida.
Ulijaribu kui reset kutumia button yake halafu u log in kupitia hizo IP Address?
Na ni lazima leseni iwe na majina yangu ama cha msingi leseni mkuuKama Unataka router kupewa bure Basi Lazma uwe na license ya biashara bila Ivo watakuambia ununue router zao
Leseni sio lazima iwe na majina yako.Na ni lazima leseni iwe na majina yangu ama cha msingi leseni mkuu
Hapo nimekupata mkuu[emoji120][emoji120]Leseni sio lazima iwe na majina yako.
Ila ukitumia leseni ya mtu maana yake tin na namba ya Nida lazima utumie za huyo huyo mwenye leseni.
Mkuu ina ubora gani ukilinganisha na fiber?Copper ni aina ya internet inayotumia mfumo wa ADSL inasambazwa na TTCL kwa zile nguzo zilizokuwa zinatumika kwenye simu za mezani
Fiber ni bora zaidi kuliko ADSLMkuu ina ubora gani ukilinganisha na fiber?
Sio powa ipo vizuri sana hiyoAirtel wamenipa speed kubwa ambayo haiendani na kifurushi
Speed iko kasi kama internet ya NASA
View attachment 2761746
View attachment 2761755
View attachment 2761756
View attachment 2761757
Mkuu naomba unisaidie, hii ni internet ya mtandao gani? Na unapataje hizo huduma, yani ni lazima kununua router?Kipo mkuu nimefanya kama nalipia hapa nimekiona [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2758562
Chief niaje? Nisaidie mawazo, nataka kujiunga unlimited ya bei chee.Fiber ni bora zaidi kuliko ADSL
ADSL ni mfumo wa kizamani
Hata TTCL saizi wamesitisha hawatoi tena huduma ya Copper.
Apps inaitwaje hii mkuuHii ni app ninayo kwenye simu nimejaribu kwenye router ya jirani imesoma hapo kwenye ip..kuchangr adress etc but yangu ni nehView attachment 2762144
Yap utaweza, then watu wa nje unawapa details za router yako na isp router inakua matumizi binafsiChiefmkwawa nina swali kutokana na hii rooter yangu kuwa wanaicontrol wenyewe je mimi nikitafuta rooter yangu nitaweza kuicontrol? Manaake nataka nichukue ethernet then nichomeke kwenye hii router ya kwao nilete kwenye router yangu then hiyo ndio niwe nawacontrol niliowaunga?! Then hii ya ISP nibaki mwenyewe tu
Bei chee itategemea na eneo ambalo upo.Chief niaje? Nisaidie mawazo, nataka kujiunga unlimited ya bei chee.
Unanishauri nijiunge mtandao upi na process ipoje?
Shukrani..hii njia naona itanifaa sana.vijana wanapeana sana pasword at list niwe nawaonaYap utaweza, then watu wa nje unawapa details za router yako na isp router inakua matumizi binafsi