Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Duuuh basi mpaka hapo hiyo Router itakuwa na shida.

Ulijaribu kui reset kutumia button yake halafu u log in kupitia hizo IP Address?
Mkuu nilichogundua ni kuna ujanja wamefanya coz siku ile wananiunga na kunipa hii router defult ilikuwa inasoma huawei 4g na huawei 5g after that wakaniambia nipendekeze jina la wifi ninalotaka na password then wakatuma makao makuu after five minutes nipo na wale mafundi ikaja vile kama nilivyopendekeza.so inamaana hizi router zote wanazicontrol na kuzimanage wao.hapo ujanja nikujua wanafanyaje fanyaje
 
Fiber ni bora zaidi kuliko ADSL

ADSL ni mfumo wa kizamani

Hata TTCL saizi wamesitisha hawatoi tena huduma ya Copper.
Chief niaje? Nisaidie mawazo, nataka kujiunga unlimited ya bei chee.

Unanishauri nijiunge mtandao upi na process ipoje?
 
Chiefmkwawa nina swali kutokana na hii rooter yangu kuwa wanaicontrol wenyewe je mimi nikitafuta rooter yangu nitaweza kuicontrol? Manaake nataka nichukue ethernet then nichomeke kwenye hii router ya kwao nilete kwenye router yangu then hiyo ndio niwe nawacontrol niliowaunga?! Then hii ya ISP nibaki mwenyewe tu
Yap utaweza, then watu wa nje unawapa details za router yako na isp router inakua matumizi binafsi
 
Chief niaje? Nisaidie mawazo, nataka kujiunga unlimited ya bei chee.

Unanishauri nijiunge mtandao upi na process ipoje?
Bei chee itategemea na eneo ambalo upo.

Kama upo DSM maeneo ya Sinza, Masaki, Mbezi, Kawe nk. Huko kuna Fiber ambazo vifurushi vyao ni kuanzia 70K na installation haizidi 200,000

Maeneo hayo pia hata TTCL wapo na wana package za 55K ila sijawaweka kipaumbele kwasababu ni miyeyusho. Hawaaminiki.

Tofauti na hapo hakuna kifurushi cha unlimited unachoweza kupata below 70K

Kama ni ushauri ni bora ukatafuta 110K uchukue Router ya Airtel yenye 30Mbps ambapo baada ya mwezi utaweza kununua package ya 70K kama 110K inakuwa ngumu ku afford.

Ila kama ukiwa maeneo ya biashara una ofisi yako basi unaweza ku share na majirani zako wakawa wanakulipa buku buku ambazo utakuwa unalipia kifurushi mwisho wa mwezi.
 
Back
Top Bottom