Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

5G ina piga fresh eneo lako?
Hapana, 5G bado haijafika eneo langu.
1696354394699.png

=
Hii october ikiisha ttcl badowananizingua nadaka hii fasta
  • Inakidhi mahitaji.
  • YT: 1440p bila shida
1696355106381.png
 
Hapana, 5G bado haijafika eneo langu.
View attachment 2770904
=

  • Inakidhi mahitaji.
  • YT: 1440p bila shida
View attachment 2770915
Kabisa Mkuu hata mimi nilitaka mwisho qa mwezi niende na kifurushi hicho

Ila wadau nao share nao wameamua kuchangia so itanibidi niunge cha 110K

Kuna kitu nime observe, japokuwa kifurushi ni shared lakini kuna muda wanakuzidishia speed.

Kuna muda nilikuwa napata download speed hadi ya 8.9MB
 
Hio speed ulikua unapata nikutoka kwenye kifurushi Cha 70k?
Maana yangu imeisha Jana najiuliza kujiunga hicho Cha 70k au niendelee na cha 115k
Mimi nimechukua cha 70k mkuu, 10Mbps, natumia mimi, wife na laptop.... Speed ni nzuri, kustream 1080p ni smooth, huko insta na tiktok video zinaplay smoothly..

Ukitaka kudownload speed pia sio mbaya sana, gb 2 zinachukua kama nusu saa hivi.
 
Kabisa Mkuu hata mimi nilitaka mwisho qa mwezi niende na kifurushi hicho

Ila wadau nao share nao wameamua kuchangia so itanibidi niunge cha 110K

Kuna kitu nime observe, japokuwa kifurushi ni shared lakini kuna muda wanakuzidishia speed.

Kuna muda nilikuwa napata download speed hadi ya 8.9MB
Mkiwa na wadau mkachukua speed kubwa ni mzuka sana
 
Nilitaka tu kujua aina gani ya powerbank inaweza ku power hizo router, volt 7 na Amps 2 ina maana hata hizi fast charging za 18W za kina Xiaomi zinaweza. Kama unajiweza unaweza ukaongeza hio capacity hadi 30,000mah let's say unaenda field hakuna umeme.
Router wameziwekea port ya type c pia... so unaweza tumia hata chaji ya simu..

Ubaya wa hizi router hazina port ya type c, na zenyewe wangeziwekea port ya type c wangetisha sana..

IMG_20231003_202548.jpg
 
Kwa coverage nzuri na uhakika Basi voda inafaa Maana haina longo longo, Ukiwa Unataka cheap Basi airtel ni nzuri kwako.
Airtel kidogo wako serious, wanasambaza 5G kwa speed sio kama voda..

Pia voda wanakulazimisha ulipie kila mwezi, usipolipa wanakuwekea deni, siku ukija kulipa unaanzia mwezi ambao hukulipia, airtel hawana limit, ukikwama hawana neno.

Pia airtel kidogo wako cheap, 30Mbps ni 110k, while voda 30Mps wanauza 120k.
 
Nimewapenda Airtel kwenye mfumo wao wa malipo.

Hakuna haja ya kulazimishana siku nikijiskia kulipia nalipa na kutumia.

Yale maswala ya kuandikiana madeni kwenye huduma ambayo sijatumia ni aina mpya ya unyonyaji.
 
Na nimewapenda ni wasikivu hawa Airtel, ule ushauri wetu wa kugawa router hata sehemu zenye 4G waliusikikiza na ndio maana leo hii tunazo, ila lengo ilikuwa ni maeneo yenye 5G...

Kinachonifurahisha ni kwamba pathway zote za 4G na 5G zinapiga kazi vzr tuu[emoji736]

Screenshot_2023-10-04-10-33-09-469_com.android.settings-edit.jpg
 
Na nimewapenda ni wasikivu hawa Airtel, ule ushauri wetu wa kugawa router hata sehemu zenye 4G waliusikikiza na ndio maana leo hii tunazo, ila lengo ilikuwa ni maeneo yenye 5G...

Kinachonifurahisha ni kwamba pathway zote za 4G na 5G zinapiga kazi vzr tuu[emoji736]

View attachment 2771315
Ila hio sio 5G mkuu, ni 5Ghz yaani wifi yenye speed ya gigabit kupanda. Wanaandika tu 5G hapo.
 
Back
Top Bottom