contask
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 780
- 1,579
Halotel tunaenjoy na gb15 kwa 10000 mwezi mzima.hii sme ya voda wazinguaji sana, tulounga mara ya kwanza tumekula loss, maana walikatisha ukitia menu hauoni zile package, walivorudisha nikadhani tutaungwa automatic hola, wapuuzi sana hawa na alafu wamepunguza ujazo wa package kuliko sme za laini zingine.
kifupi voda sme yao ni ya kitapeli
NB.sio m2m wakuu
Pia unaruhusiwa kurusha mb