Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hii sme ya voda wazinguaji sana, tulounga mara ya kwanza tumekula loss, maana walikatisha ukitia menu hauoni zile package, walivorudisha nikadhani tutaungwa automatic hola, wapuuzi sana hawa na alafu wamepunguza ujazo wa package kuliko sme za laini zingine.

kifupi voda sme yao ni ya kitapeli
Halotel tunaenjoy na gb15 kwa 10000 mwezi mzima.
NB.sio m2m wakuu
Pia unaruhusiwa kurusha mb
 
hii sme ya voda wazinguaji sana, tulounga mara ya kwanza tumekula loss, maana walikatisha ukitia menu hauoni zile package, walivorudisha nikadhani tutaungwa automatic hola, wapuuzi sana hawa na alafu wamepunguza ujazo wa package kuliko sme za laini zingine.

kifupi voda sme yao ni ya kitapeli
Tumia ya Airtel
 
Providers wa internet wabadilike, wawe wajasiriamali.
Mambando yawe yasifanane , ili tusisishindwe Kwa kukimbilia .
Mfano karibia internet provider's wote speed ya MBs 10 unlimited wanauza Kwa 50,000 TSH,
Kwani wasijitokeze baadhi wakauza 40,000 TSH.

Wengine MBs 5 Kwa 25,000 Tu.
Biashara ushindani kupata wateja Wengi wakudumu
 
Tigo, Halotel, Airtel na Voda unajiungaje hizo unlimited za 50k?
 
Kuna airtel sme
Gb22 kwa 22000
35 kwa 30000
Kuns m2m
Gb 18 kwa 15000
35 kwa 30k

Pia kuna halotel ila sio m2m
Gb 2.5 kwa 2000 7 days
Gb6.5 kwa 5000
gb15 kwa 10000
Pia mb unaweza kumrushia mtu mwingine

Tigo postpaid

All in all gn kwa 1000
Halotel unapigaje mkuu
 
Kuna airtel sme
Gb22 kwa 22000
35 kwa 30000
Kuns m2m
Gb 18 kwa 15000
35 kwa 30k

Pia kuna halotel ila sio m2m
Gb 2.5 kwa 2000 7 days
Gb6.5 kwa 5000
gb15 kwa 10000
Pia mb unaweza kumrushia mtu mwingine

Tigo postpaid

All in all gn kwa 1000
Hii nikiitaka nafanyaje?
 
Vip watu wa Router za Airtel mnavuka 1TB kwa mwezi?
Kama utaweza ku zoom
Screenshot_20240625-234744.png
 
Back
Top Bottom