Nimesoma thread yote na comment karibu zote nimezipitia kwa utuo. Nilichogundua ni kwamba UKOMBOZI WA KIFIKRA NI TATIZO KUBWA.
Wengi wanaweza kuwa wasomi lakini wana FIKRA MGANDO. Ukabila ni suala la kufikirika tu. Tabia za binadamu huathiriwa na mambo mengi. Suala la ukabila ni fikra na imani tu. Pole sana mtoa hoja!