Utahangaika sana kuelewana na mjita labda ukubali kua boya kwake yani awe kama yeye ndio amekuoa hapo mtaelewana lakini tofauti na hapo never ever forever tena utakua umeolea wana mtaa kwasababu kwa kupenda ngono ni vinalaWajita wa kike ni watu wema sana mkielewana.
Kifupi ni heri kuoa au kuolewa na wa kabila lako, japo haya mambo hayanaga formula, ila kuna makabila ni ya kuacha waoane wao wenyewe tuna sisi wakike tukipata wajita je? tukimbie au tukae hapo?
daaahKifupi ni heri kuoa au kuolewa na wa kabila lako, japo haya mambo hayanaga formula, ila kuna makabila ni ya kuacha waoane wao wenyewe tu
Umegusa kwenye mshono yani ndio tabia yao tafadhali vijana kuweni makini sana mjita sio mwanamke wa kuoaMusoma mjini, ukitafuta wenye nyumba wazee wa kiume ni nadra kupatikana,
Kaz Kweli Kweli!!
Mwambie kabisa ajiwai kabla mambo hayajawa mambo akajutiashoga kimbia mbio ndefu hakikisha mguu unagusa shingo wakat unakimbia
Kwani bado unatafuta tu? 😅😅na sisi wakike tukipata wajita je? tukimbie au tukae hapo?
Unajidanganya tu mwanamke wa kijita ili akuone mzuri labda ukubali kupelekeshwa nae yani awe kama yeye ndio amekuoa atoe maamuzi yeye na mama yake awe na nafasi ya kuamua mambo kwenye nyumba yako lakini tofauti na hapo watasubili ujenge nyumba wakuue tena wana tabia ya kupenda ujenge kwao ili wakisha kuua nyumba inabaki huko na hawapendi uwe na mahusiano mazuri na ndugu zako kwaio choose wiselyWajita wa kike ni watu wema sana mkielewana.
Achana nae uyo akaolewe na wajita wenzake atakuja kukua uyo nakwambia ukweli kabisa utaingia kwenye matatizo makubwa sana tunza hii comment utanijulisha yakifika shingoniBora umeniambia mapema nilikua nishajieka kwa mjita, nimeghairi sasa.
Una uhakika hizi ni tabia za wajita? Isijekuwa tabia za demu/mke wako ndio umewapa wajita wote.Wajita tabia zao unakuta Mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi ila anapotezwa yani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na ata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe yani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashadha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake kwakifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita yani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake kwakifupi unakua ni kama upo uchi mbele yao naomba vijana muwe makini sana na ukisha zaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto alafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanao ongoza kwenda kwenye dawati la jinsia
Naomba kuwasilisha vijana kuweni makini sana akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke
Sawa mkuu nimepokea ushauri😄Achana nae uyo akaolewe na wajita wenzake atakuja kukua uyo nakwambia ukweli kabisa utaingia kwenye matatizo makubwa sana tunza hii comment utanijulisha yakifika shingoni
Kimbia mita 100 achana nao kulinda maisha yakoda!!!!! ata WAPANGWA wako hivihivi,,,,,yaani kila ulichoandika kinaendana 100% na WAPANGWA,,,alaf wanaroga mpaka vyuma!!!
Nakwambia hivi kama huamini tafuta mwanamke wa kijita uoe yani ukishatoa mahari tu baaas mama ake anamtafutia mwanaume mwingine na Utaishia kuolea mtaa kwasababu ni wagawaji sana kua makini na uchawi wanaoUna uhakika hizi ni tabia za wajita? Isijekuwa tabia za demu/mke wako ndio umewapa wajita wote.
Siku hizi sio kama zamani, samaki mmoja akioza, tunamtoa, waliobaki tunawala. Maisha yashakuwa magumu.
Kwa wajita kwao ni ufahari kua single mama kwasababu wanapenda mtelemko kupewa pesa za matunzo ya mtoto kutoka kwa wanaume ata wanne tofauti yani mwanamke wa kijita ana watoto wanne na wote kila mmoja na baba yake na ao baba zao wote haishi nao sasa jiulizeKuoa single mma ni kubet unaweza pata au patwa
Kila la kheri mkuuKuna wadada wa Kijita wako poa sana, halafu wanajituma kinoma uwanjani...