Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Wajita wa kike ni watu wema sana mkielewana.
Unajidanganya tu mwanamke wa kijita ili akuone mzuri labda ukubali kupelekeshwa nae yani awe kama yeye ndio amekuoa atoe maamuzi yeye na mama yake awe na nafasi ya kuamua mambo kwenye nyumba yako lakini tofauti na hapo watasubili ujenge nyumba wakuue tena wana tabia ya kupenda ujenge kwao ili wakisha kuua nyumba inabaki huko na hawapendi uwe na mahusiano mazuri na ndugu zako kwaio choose wisely
 
Wajita tabia zao unakuta Mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi ila anapotezwa yani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na ata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe yani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashadha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake kwakifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita yani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake kwakifupi unakua ni kama upo uchi mbele yao naomba vijana muwe makini sana na ukisha zaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto alafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanao ongoza kwenda kwenye dawati la jinsia

Naomba kuwasilisha vijana kuweni makini sana akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke
Una uhakika hizi ni tabia za wajita? Isijekuwa tabia za demu/mke wako ndio umewapa wajita wote.

Siku hizi sio kama zamani, samaki mmoja akioza, tunamtoa, waliobaki tunawala. Maisha yashakuwa magumu.
 
Una uhakika hizi ni tabia za wajita? Isijekuwa tabia za demu/mke wako ndio umewapa wajita wote.

Siku hizi sio kama zamani, samaki mmoja akioza, tunamtoa, waliobaki tunawala. Maisha yashakuwa magumu.
Nakwambia hivi kama huamini tafuta mwanamke wa kijita uoe yani ukishatoa mahari tu baaas mama ake anamtafutia mwanaume mwingine na Utaishia kuolea mtaa kwasababu ni wagawaji sana kua makini na uchawi wanao
 
Kuoa single mma ni kubet unaweza pata au patwa
Kwa wajita kwao ni ufahari kua single mama kwasababu wanapenda mtelemko kupewa pesa za matunzo ya mtoto kutoka kwa wanaume ata wanne tofauti yani mwanamke wa kijita ana watoto wanne na wote kila mmoja na baba yake na ao baba zao wote haishi nao sasa jiulize
 
Back
Top Bottom