Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Du! Mkuu umenitisha sana. Hebu funguka zaidi muzee
 
Hadi wajita wasabato wapo hivyo au ni mataifa peke yao?
Tena wakisabato ndio vinala wakuu uko makanisani ni unafiki na kurogana mkuu nina experience na wajita sana sikushauri kabisa kuoa mjita unless na wewe ni mjita
 
Numeona Kijana Mjita nikajua Unaongelea wale Majita walio imbwa na Juma Nature na Temba
 
Duuh baada ya Wachaga, Waha sasa ni Wajita......gues who is next
 
Kwa wale wataalamu wa lughaza picha watanielewa.

Ipo hivi "ukimkazia mwanamke wa kijita macho , ukamwangalia kwa makini kwa kukutanisha macho ukautafsiri na uao wake utagundua ule upole unao onekana kwenye nyuso na macho yao, nyuma yao kuna ugaidi mkubwa sana.

Kaa mnabisha anzeni kufanyia research hili jambo.

Ni rahasi sana kuitambua tabia ya mwanamke kwa kumwangalia macho na lipsi zake wakati anaongea
 
Du! Mkuu umenitisha sana. Hebu funguka zaidi muzee
Mwanamke wa kijita kumsimulia mama yake jinsi mnavyo nyanduana kwake sio shida kabisa kwasababu kwa 80% mama mkwe wa kijita wako bila wame zao yani wame walisha restishwa kwa amani kitambo kwaio unakuta mama wa kijita miaka 55 ila anatembea na vijana wadogo anaishi kama msimbe yan anatukanana na mabinti zake kama wadangaji kumbe ni mama na binti ndugu ilo kabila sikushauri yani
 
Umegusa penyewe kabisa mkuu yani ndio ivyo ivyo
 
Du! Hawa watu hawafai kabisa aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…