tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Du! Mkuu umenitisha sana. Hebu funguka zaidi muzeeWajita tabia zao unakuta Mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi ila anapotezwa yani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na ata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe yani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashadha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake kwakifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita yani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake kwakifupi unakua ni kama upo uchi mbele yao naomba vijana muwe makini sana na ukisha zaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto alafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanao ongoza kwenda kwenye dawati la jinsia
Naomba kuwasilisha vijana kuweni makini sana akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke