Pleasepast
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 509
- 848
- Thread starter
-
- #61
Ndio ivyo mkuu na hayo yanakua maelekezo anapewa na ukoo wake mama yake yani ni watu wa ajabu sanaNinaelewa sana unachokiongea coz nilikuwa nae na asilimi 90% yote ni ya kweli, hasa kutaka kukutawala utafkiri yeye ndio mwanaume.
Kweli aisee maana muda mwingi alikuwa anawasiliana na mama yake.Ndio ivyo mkuu na hayo yanakua maelekezo anapewa na ukoo wake mama yake yani ni watu wa ajabu sana
Yes ndio zao na hapo ukisogea karibu yake ana punguza sauti au anakata kabisa simu ila ukitoka sasa unawekwa mezani wanaunga conference ukoo mzima wana jadili namna ya kukupuna vizuri na kukuendeshaKweli aisee maana muda mwingi alikuwa anawasiliana na mama yake.
Nilishtuka, nikapiga chini haraka sana kabla mamba hayajawa mengi..Yes ndio zao na hapo ukisogea karibu yake ana punguza sauti au anakata kabisa simu ila ukitoka sasa unawekwa mezani wanaunga conference ukoo mzima wana jadili namna ya kukupuna vizuri na kukuendesha
Wapangwa watu safi sana shida yao hawana unafikiKimbia mita 100 achana nao kulinda maisha yako
Hiyo balaaYes ndio zao na hapo ukisogea karibu yake ana punguza sauti au anakata kabisa simu ila ukitoka sasa unawekwa mezani wanaunga conference ukoo mzima wana jadili namna ya kukupuna vizuri na kukuendesha
da!! noma sana jombaaa!!Kimbia mita 100 achana nao kulinda maisha yako
Yaan wewe kumbe pia upo ivyoBora umeniambia mapema nilikua nishajieka kwa mjita, nimeghairi sasa.
Mfano, nenda msoma mjini....nyumba nyingi za wenyeji (wajita) zinawajane.Hisia tu Kama vile unamchukia mtu kisa ana hela kukuzidi. Fanya research ya wajita wote utoe data statistically na sio uongee uaminike eti jua ndilo linalozunguka dunia.
Tupe wastani, tofauti,variance, standard variation , maximum and minimum.
Tupe mean sample and population mean
Wewe kabila gani kwani?Tena wakisabato ndio vinala wakuu uko makanisani ni unafiki na kurogana mkuu nina experience na wajita sana sikushauri kabisa kuoa mjita unless na wewe ni mjita
Aisee 🤣 🤣Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.
Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.
Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.
Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.
Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia
Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Wajita mkuje kipende hii Kuna ujumbe wenu mtwambie kama ni kwer au la [emoji3][emoji3] vijana wa KATAA NDOA kabla hawajapitisha azimio la wanaumeWajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.
Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.
Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.
Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.
Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia
Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Unataka umuache mjita wako kisa thread ya huyu jamaa sio wote wako ivyo yeye yamemkuta ana conclude kabila zima ,si ushamba huoNipoje mkuu!😂
Ni kwelii! hata huyu wangu ananisumbua kichiziiUnataka umuache mjita wako kisa thread ya huyu jamaa sio wote wako ivyo yeye yamemkuta ana conclude kabila zima ,si ushamba huo
Anakusumbua na nini? Au wewe ndio msumbufuNi kwelii! hata huyu wangu ananisumbua kichizii
Nimekuelewa hapo kwenye kila mtoto na baba yake.Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.