Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Ninaelewa sana unachokiongea coz nilikuwa nae na asilimi 90% yote ni ya kweli, hasa kutaka kukutawala utafkiri yeye ndio mwanaume.
Ndio ivyo mkuu na hayo yanakua maelekezo anapewa na ukoo wake mama yake yani ni watu wa ajabu sana
 
Yes ndio zao na hapo ukisogea karibu yake ana punguza sauti au anakata kabisa simu ila ukitoka sasa unawekwa mezani wanaunga conference ukoo mzima wana jadili namna ya kukupuna vizuri na kukuendesha
Nilishtuka, nikapiga chini haraka sana kabla mamba hayajawa mengi..

Halafu ni wasanii wazuri sanaa hasa kujifanya wapole.
 
Hakuna watu smart kama wapangwa kuanzia shule,kimaamuzi na hawalei watoto kuwa legelege.Ukipata mume Wa kipangwa kumpanda kichwani sahau.

Pia ni watu waaminifu sana

Wakisema no ni no kweli unafiki hawana.

Walio wengi hawakimbiii ndoa.
 
Hisia tu Kama vile unamchukia mtu kisa ana hela kukuzidi. Fanya research ya wajita wote utoe data statistically na sio uongee uaminike eti jua ndilo linalozunguka dunia.
Tupe wastani, tofauti,variance, standard variation , maximum and minimum.
Tupe mean sample and population mean
Mfano, nenda msoma mjini....nyumba nyingi za wenyeji (wajita) zinawajane.

Kuna ukweli flani, usipuuze

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.

Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.

Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.

Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.

Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia

Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Aisee 🤣 🤣
 
Wajita mkuje kipende hii Kuna ujumbe wenu mtwambie kama ni kwer au la [emoji3][emoji3] vijana wa KATAA NDOA kabla hawajapitisha azimio la wanaume
 
Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.

Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.

Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.

Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.

Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia

Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Nimekuelewa hapo kwenye kila mtoto na baba yake.
 
Back
Top Bottom