Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

NIna mashaka na jinsia yako, Mbona unakua dhaifu kiasi iko na ukabila juu looh.
Mimi navuta yeyote akianza mawenge nawaachia wana kwani mnalazimisha mfe kuzikana?
Makabila yamebaki ya kutambikia tembeza rungu Bro.
 
......wajita wanawake wanapenda sana ushirikinaaa..mnoo mnoo.....nawajua familia moja muhimbili khaa yuke baba Dr amestaafu sasa....amerogwaa sanaaaa na mke wakè mjita piaa
 
Mimi nawapa ushauri vijana wenye staha ambao wana nia ya kujenga familia bola na sio wenye tabia kama io ya kutembeza
 
......wajita wanawake wanapenda sana ushirikinaaa..mnoo mnoo.....nawajua familia moja muhimbili khaa yuke baba Dr amestaafu sasa....amerogwaa sanaaaa na mke wakè mjita piaa
Ndio jadi yao io kazi ni uchawi wanakuroga adi unakubali
 
Wajita wenye baba na mama wanaoishi pamoja ni wachache sana
Ni ngumu sana kukuta familia ya kijita ina Baba na mama lazima ukute mama yupo na watoto wake ambao kila mtoto na baba yake alafu anakua na mabinti zake wawili ambao ndoa zimewashinda bas wanadanga maisha yanaendelea
 
Bams zile generalized statements hizi huku. Ongezea hii uitumie siku nyingine kwenye kujitafutia uhalali uchwara.
 
Mimi nawapa ushauri vijana wenye staha ambao wana nia ya kujenga familia bola na sio wenye tabia kama io ya kutembeza
Sasa mna staha gani na nia gani kwanini msivumilie, Tatizo mkishayakanyaga ndo akili zinawarudi. Bado hujasema nikwambie tu huo ni mwanzo Master.
 
Uko sahihi asilimia mia moja.Yalinikuta makubwa ndoa ilidumu Kwa wiki moja tu.Nasasa nina miaka 6 nimeshamsahau mwanamke yule wa kijita.I second you
Ulidumu muda mrefu sana mkuu maana wajita hawafai labda wapate boya wamroge lakini ukiwa na akili zako timamu hauwezi kudumu
 
Mkuu umesahau kuongezea sifa zao kuu mbili ambazo ni kupenda mambo ya kishirikina na kuchukia ndugu wa upande wa mwanaume.
 
Kumbe ndio maana wajita wengi wanakuja kuoa upareni!!!!
Nilidhani wanafuata hii mitako ya kipare kumbe kwao kunawaka Moto.

Wasabato wenzao..na wapare weupe.. wanaume wa kanda ya ziwa wanapenda wanawake weupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…