Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

......wajita wanawake wanapenda sana ushirikinaaa..mnoo mnoo.....nawajua familia moja muhimbili khaa yuke baba Dr amestaafu sasa....amerogwaa sanaaaa na mke wakè mjita piaa
Dah mkuu yani hapo kwenye ushirikina hawa wanawake ni habari nyingine kabisaaa...mimi kwakweli ni shuhuda hapa.

Tena usiombe mwanaume uwe na pesa. Yani atakachokifanya kwanza ni kukupiga madawa ww uwe mama yeye awe baba kisha anafuata na kukutenganisha na wanao(hapa uombe tu watoto wakue wajielewe) baada ya hapo anafanya makolokolo muachane kisha mnagawana mali anakuacha ufe na presha zako.
 
CHAI
 
Ila hata wanaume wa kijita nao ni washirikina
 
Niliwahi shuhudia hili swali, uchale nu mulume? Dem akajibu eeh muuliza swali akasema eeh mugumile! Au hana kitu.
Sijui maanake ni nini?
 
Naona mleta uzi kakataliwa na binti wa kijita kaamua kuja kulichafua kabila zima

Mimi ni mjita ila ulichoeleza ni uongo mkuu
Mjita hawezi kunikataa ndugu ila mimi nimeamua kusaidia watu wajue kwasababu wanawake wa kijita hawafai na kama na wewe ni mmoja wapo basi ni hatari hamfai kwani huoni mashuhuda wengine wanaweka shuhuda zao hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…