Mkubwa ni mkubwa tu🤣Kuna wadada wa Kijita wako poa sana, halafu wanajituma kinoma uwanjani...
Mimi nimejikita kwa mnyqki, nipe ABCs zao mkuu🤣Inabidi sasa muunde binadamu wa kabila ambalo haliexist
Kila mtu kwenu mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ivyo mkuu wanawake wa kijita hawafai tafadhali vijana chukueni elimu hapa msije kusema hamkuambiwa.Kuna ticha jirani yangu kaoa mke mjita asee ni balaa jamaa anafua anapika na kufanya shughuli zote za uangalizi wa watoto , mke wake yeye ni kuzurura tu kutwa kucha kugawa mbususu na jamaa yupo kama kondoo nahisi keshamroga. KATAA NDOA OGOPA WANAWAKE WAJITA
Mataifa ni kina nani Komwe?mataifa.
Sasa wajita wanawakimbia wajita wenzao wanakimbilia wapare si kama kuruka mkojo na kukanyaga kinyesi ?
Nilicho kiandika ni ukweli mtupu na nimeamua kufanya hivi ili kuwasaidia vijana ambao wana ndoto za kufika mbali kwenye maisha yao wafanye wafanyavyo lakini kwenye kuoa wawaepuke wanawake wa kijita kwa gharama yoyote ileMama yangu aliniambia nikimleta mwanamke Wa kijita kwako...nisimjue kama hata mama yake mpaka akaniapia..
Yote yote kwa yote aliyoyaongea mtoa mada ni ukweli asilimia mia moja...
Baba yangu mdogo alioa mjita tayari tushamzika kaachiwa nyumba kubwa tu na hata mtoto hawakufika kuzaa..
Ukifatilia mama yetu huyo mdogo Dada na wadogo zake wote aidha wamefiwa mume au wameichika na wana watoto kila mtu na baba ake..
Kwa mkoa wetu Wa Mara oa makabila yeyote Ila wajita usiguse muache kabisa wanajuana wao kwa wao...
NB; WANAROGA kise#n#gE
Naunga mkono hojaNilicho kiandika ni ukweli mtupu na nimeamua kufanya hivi ili kuwasaidia vijana ambao wana ndoto za kufika mbali kwenye maisha yao wafanye wafanyavyo lakini kwenye kuoa wawaepuke wanawake wa kijita kwa gharama yoyote ile
Yego mwana wa mai siga obhumumuC:imali wasu mubhwire bhukweli asige kuyeka bhumumu bhwae ku mutwe
Sent from my SM-G570M using JamiiForums mobile app
Rfk angu wa kike mjitaWajita wa kike ni watu wema sana mkielewana.
Atakae sikia na asikie wewe muache aendelee kubisha adi yamkuteRfk angu wa kike mjita
Nilikuwa mades kwenye send off take
Ndoa imedumu 7 month
Kimbiana sisi wakike tukipata wajita je? tukimbie au tukae hapo?
Iv kuna wadada wa kikurya wazuri kwel[emoji848]Hata wadada wa kikurya naona wana matatizo. Kama hujamchunguza kwa ndani huwezi kuona. Sometimes naona bora nioe kabila langu tu ujinga wetu tunajuana wenyewe kuliko kufanyiwa ujinga mpya
Wapo wawili watatuIv kuna wadada wa kikurya wazuri kwel[emoji848]