Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Kuna ticha jirani yangu kaoa mke mjita asee ni balaa jamaa anafua anapika na kufanya shughuli zote za uangalizi wa watoto , mke wake yeye ni kuzurura tu kutwa kucha kugawa mbususu na jamaa yupo kama kondoo nahisi keshamroga. KATAA NDOA OGOPA WANAWAKE WAJITA
Ndio ivyo mkuu wanawake wa kijita hawafai tafadhali vijana chukueni elimu hapa msije kusema hamkuambiwa.
 
Mama yangu aliniambia nikimleta mwanamke Wa kijita kwako...nisimjue kama hata mama yake mpaka akaniapia..

Yote yote kwa yote aliyoyaongea mtoa mada ni ukweli asilimia mia moja...

Baba yangu mdogo alioa mjita tayari tushamzika kaachiwa nyumba kubwa tu na hata mtoto hawakufika kuzaa..

Ukifatilia mama yetu huyo mdogo Dada na wadogo zake wote aidha wamefiwa mume au wameichika na wana watoto kila mtu na baba ake..

Kwa mkoa wetu Wa Mara oa makabila yeyote Ila wajita usiguse muache kabisa wanajuana wao kwa wao...

NB; WANAROGA kise#n#gE
 
Nilicho kiandika ni ukweli mtupu na nimeamua kufanya hivi ili kuwasaidia vijana ambao wana ndoto za kufika mbali kwenye maisha yao wafanye wafanyavyo lakini kwenye kuoa wawaepuke wanawake wa kijita kwa gharama yoyote ile
 
Naunga mkono hoja
 
Hata wadada wa kikurya naona wana matatizo. Kama hujamchunguza kwa ndani huwezi kuona. Sometimes naona bora nioe kabila langu tu ujinga wetu tunajuana wenyewe kuliko kufanyiwa ujinga mpya
Iv kuna wadada wa kikurya wazuri kwel[emoji848]
 
Back
Top Bottom