mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
- Thread starter
-
- #81
Mkuu nilipotangaza kuoa,wapotoshaji wakaanza kujileta mara ooh ndoa si lele mama wakaanza kunitolea mifano ya ndoa zilizoyumba mpaka ya Mandela.Nilisikiliza ushauri wao nikachanganya na zangu nikaoa.Dah!..hongera sana aisee, wapo tunaotamani hivyo ila sasa...
Na jamii iliyostaarabika mkuu,Utahesabika na nani?
Wewe mbona haujaolewa ?Na Mimi..nashangaa mtu anakuja na bandiko eti vijana wachelewe kuoa..Yaaani unachosubiria Nini...unakipato Cha kawaida..kwanini usioe..
Mwanaume kamili Ni yule.mwenye mke
Endelea tu kuzini mkuu...kwani Kuna shida ?1. Je mapadri sio wanaume halisi?
2. Je ni kifungu gani cha bilblia kina LAZIMISHA watu wao au waolewe?
3. Je kifungu gani cha katiba kinalazimisha mtu aoe au aolewe?
4. Sisi kama wakristo tuna fwata mafunzo ya Yesu na mitume wengine kama mtume Paulo.
Lakini kiuhalisia ni kwamba hawakuoa je nao unawasemeaje?
NB: Naomba unijibu maswali yote.
Tena huko ulikoongea ndio kabisa. Mkeo awe waziri au mbunge uwe tu tayari kumuacha,mwanamke kwamba wewe utamlazimisha afuate sheria zako hapo tayari ameshakuwa waziri?. Vinginevyo atafuata kabla hajafikia hiyo ngazi.Mwanaume amezaliwa kiongozi hivyo yako ikiwa fasheni inabidi uvae uanaume wako,onyesha njia mkeo atafuata hata kama mkeo ni waziri
Haya nyie endeleeni kuwadanganya vijana,Mkuu wengine tumeoa na mambo yakazidishiwa baraka..maneno yako yatazidi kuwaharibu
Jidanganye tu..Ukioa ndo unapata Baraka. Unaweza fanya yote hayo kirahisi na kifanisi ukiwa ndani ya ndoa.
True storyHakikisha una hela kama bwawa la Mtera kabla hujahangaika na ndoa.
Hahahah labda uwe na mke fighter akubali kuchangia maendeleo kwa hela yake.Jidanganye tu..
Yaan uwe na kipato cha mfano million moja then ushindwe kununua IST ukiwa mmoja then ununue mkiwa wawili na zaid(familia yenu, yako na yake) hii hesabu ya wapi mkuu....usiniambie eti ukioa fursa zinaongezeka,hizo huwa ni coincidence tu
Yaani hawa ndio wanapotosha vijana.Safi sana mkuu,hivi fikiria raha tunayopata tuliyooa upo mezani na mkeo na watoto meza imesheni vinono,angalia watoto wako wavyofurahi na kuwaangalieni kwa jicho la upendo.
AU ona unavyotoka na familia yako shopping mke pembeni yako watoto nyuma yenu,
ETI mtu hajaoa halafu anadai anakula maisha,kula maisha umezungukwa na makahaba!! OENI MFAIDI
Na jamii iliyostaarabika mkuu,
Kwa wanawake hawa wa 50/50 kwenye haki ila kugawanya majukumu 100/0 na ile kauli mbiu yao ya chako chenu chake chake....hiyo ni ndoto ya mchanaHahahah labda uwe na mke fighter akubali kuchangia maendeleo kwa hela yake.
Hawa jamaa wanaleta theory za decades back katika ulimwengu huu wa leo,bila kusahau kila kitu kimebadilika na kuna changamoto nyingi mpya za ulimwengu wa leo ambazo ukitaka kuzi solve kimazoea utachelewa sana au utaangukia puaKukariri mambo kwa hii dunia tunayoishi sasa ni kujifelisha vibaya mno! Ufanye jambo kisa baba au mama alifanya utajikuta unaangukia pua...
Kwa akili yangu fupi uwezi kunambia ili niwe mwanaume niliye kamilika lazima niwe nimeoa...
Endelea tu kuzini mkuu...kwani Kuna shida ?
Ukiona hupati utulivu kwenye ndoa jitathimini uanaume wako
Kuna mtu alileta uzi 'KAMA NDOA IKIVUNJIKA MWANAUME NDIO WA KULAUMIWA'
yupo sahihi mkuu
Kumbuka mwanaume ndio kiongozi wa ulimwengu huu,moja ya sifa ya mwanaume ni kuzikabili changamoto na kuzishindaHawa jamaa wanaleta theory za decades back katika ulimwengu huu wa leo,bila kusahau kila kitu kimebadilika na kuna changamoto nyingi mpya za ulimwengu wa leo ambazo ukitaka kuzi solve kimazoea utachelewa sana au utaangukia pua
Mkuu wangu kazaliwa 1984,bado mbichi na nimemsomesha(kitu ambacho hamtaki kukisikia),Naona bado haujakutana na hawa viumbe. Usipotumia hekima na busara. Jela inakuhusu
Huyo uliyempata katulia kwako, basi unaona kama wanawake wote wanafanana na wa kwako kitabia, sura mpaka umbo. Kwahiyo unafikiri mwanamke ni malaika (hana madhaifu)?.
Utakuwa umeoa mwanamke aliyezaliwa 1970 kushuka chini
Kabisa! Na ukioa ili kuonyesha wewe ni mwanaune mbele ya umma, jua uko na shida pahala..Hawa jamaa wanaleta theory za decades back katika ulimwengu huu wa leo,bila kusahau kila kitu kimebadilika na kuna changamoto nyingi mpya za ulimwengu wa leo ambazo ukitaka kuzi solve kimazoea utachelewa sana au utaangukia pua