Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

Mnaongea tu bila kufikiri upande wa pili ,kama huna hela mwanamke atakae kupenda havutii chochote sio sura wala umbo
Ukiwa huna pesa hata serikali haikupendi maana unakuwa mzigo. Pesa isiwe hoja, ni lazima kuwa nayo ndo uingie kwenye mahusiano.

Usiajiri kwa kigezo cha umbo zuri ukapuuza taaluma. Utafurahia kulitazama ila biashara itaharibika.
Mwanaume malaya ni malaya tu ila mwanaume malaya mwenye akili anajua kabisa kuwa tembo anavutia kumtazama huko huko porini, huwezi mleta ndani ya nyumba yako. Wanawake wazuri na wenye shape kila siku wanazaliwa, huwezi wamaliza.

Oa mwanamke atakayekuwa mama bora. Uzuri unaisha anabaki mama mwenye busara zake. Hapa ni mkiwa kwenye 40's tu.
 
Hakuna unafuu kunarafikiyangu kaolewa na mwanaume anaempenda sana Yani yule baba ananpelekesha balaa Yani Kwa matukio anayompiga ni balaa
Kilamtu afanye kitu alichoagizwa mwanaume apende mwanamke atii mwanaume hakikisha mkeo anakutii huwezpatashida na ndio hata wazee wetu walioana wakiwa hawajuani kabla na waliishi vizuri
Jitengenezee mazingira ya kufanya mkeo akutii shida sikuiz mmekuwa wadhaifu sana
 
Kila Mwanamke hunipenda
 
Upo sahihi kabsa kwa baadhi ya watu .
 
Sure, nimefkiri tu tofauti japo sio muumini wa ndoa , upo sahihi sana mkuu.
 
sio kwel
 
nilipokuwa chuoni, kuna mwanachuo mwenzangu aliitwa Amina , aisee yule dada alinipenda kutoka moyoni, kipindi kile sikuwa hata na uwezo wa kutoa mahali, nilimuacha akaolewe na wengine waliokuwa na uwezoπŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
lazima wawe wadhaifu, sasa mfano kama wewe unanitaka mimi eti kisa nina pesa, na asiekuwa na pesa atajihisi vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…