mwanamke lazma avutiwe na kitu flani ili akupendeMi naamini mwanamke hapendi mtu, anapenda mzingira fulani, iwe pesa au nyumba.
Kama namdanganya kijana mnifunge jiwe la chumvi mnitose baharini.Anakudanganya huyo
[emoji12]Mkitupenda nyie inatosha.
[emoji16][emoji16][emoji16]Wanawake wenzangu mwendo ni uleule tunaolewa na wanaume wanaotupenda sio tunaowapenda cc @cutewife
Mwanaume unatakiwa ushawishi akizingua piga chini kwa misimamo mikali kama ya putin.Ni kweli kabisa
Na wengi wanaoteseka kwenye ndoa ni wale waliooa kwa kuwashawishi sana hao wake zao
Na kama huna chochote kitu sio rahis mwanamke akutii.Mwanamke hatakiwi mpenda mwanaume, anatakiwa amtii tu
Ulitumia hekima na akili nyingi.nilipokuwa chuoni, kuna mwanachuo mwenzangu aliitwa Amina , aisee yule dada alinipenda kutoka moyoni, kipindi kile sikuwa hata na uwezo wa kutoa mahali, nilimuacha akaolewe na wengine waliokuwa na uwezo[emoji17][emoji17][emoji17]
Wengi wao kuwapiga chini hawawez maana wanakuwa bado wanawapendaMwanaume unatakiwa ushawishi akizingua piga chini kwa misimamo mikali kama ya putin.
Ukifanya kila kitu kwa kiasi , utaishi vizuri sna, kupenda sana tayari ni tatzo tena la akili.Wengi wao kuwapiga chini hawawez maana wanakuwa bado wanawapenda
We hutaki kupenda?Mkitupenda nyie inatosha.
Sio jukumu letu🤣🤣🤣We hutaki kupenda?
@Econometrician nadhani ulichokisema ndicho uhalisia wenyewe,hili suala la kua mwanamke anakupenda japo sina uhalika kipi nikipi ila mwanamke huvutiwa namazingira flani flani ya mwanaume kama ulivyoelezea hapo juu.Nani alikuambia mwanamke ana penda,utashi wa kupenda ameumbwa nao Mwanaume tu.Mwanamke anavutiwa na wewe kutokana na mambo fulani fulani kama kimo,pesa,uhakika wa maisha yake na wanae,muonekano wa Mwanaume n.k
Akishazalishwa atampenda tukuna ndugu yangu mmoja ni pisi kali haswaaa ( ni nzuri haswaaa yani nikisema mzuri namaanisha mzuri) ameolewa na jamaa mmoja ana michuzi ya kutosha sana,mwanzoni sista alikuwa hampendi jamaa kwasababu jamaa ana sura pasono......
NB:siombei waachane ila nipo nasubiri mrejesho wa ndoa yao baada ya miaka mitatu maana najua yule ssta amefuata michuzi mingi.
Sound jokes but ndiyo reality well njaa imefanya dunia kukengeuka hata baadhi wazee tulowategemea kutujenga kwa busara washakuwa corrupted MUNGU atupiganie mwisho mwema.Mwanamke wa kukupenda unampata wapi? Baba wa huyo mwanamke unayemsubiri anamfundisha bintiye, sisi wanaume wote ni mbwa, ukipata mwanaume kumbuka kuleta maokoto hapa.
Mama wa huyo mwanamke unatemtarajia anamfundisha bintiye, mwanamke jiko, jiko mafiga matatu.
Punguza roho ngumu jifunze kupenda. Unaweza pelekwa Dubai cillahSio jukumu letu🤣🤣🤣
Nipeleke basi🤣🤣🤣🤣Punguza roho ngumu jifunze kupenda. Unaweza pelekwa Dubai cillah
😂 Ninge kama unge. Malizia hiyo sentesi mwenyewe.Nipeleke basi🤣🤣🤣🤣