Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda.
Kama unatumia nguvu nyingi Sana pengine Mali na fedha kumshawishi mwanamke mpaka akakubali tambua tuu huyo mwanamke hakupendi, na endapo utamuoa utakuja kujuta.
Mwanamke anayekupenda huwa haombi vitu ovyo ovyo ni nadra Sana, na ikitokea ujue huyo ni extremely emergency, atajitahidi hakuudhi wala kukukwaza na atakusikiliza Kwa kila kitu, na kila mwanaume duniani anaye mwanamke anayempenda, shida ni kwamba tamaa na mionekano ya wanawake wa hovyo ndo huwa inatuponza.
Kama kuna mwanamke anakupenda na wewe unamuona kama anafaa japo sio wa viwango unavyotaka usipoteze mda weka ndani , utaenjoy Sana , na utafanya mambo makubwa , hawa wa kuhonga Sana ndo akukubali jiandae kuchapiwa Sana na kuzalishiwa watoto wasio wako.
Mengine Robert Heriel Mtibeli ataongezea