Vijana jitahidini muoe mwanamke anayekupenda

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda.

Kama unatumia nguvu nyingi Sana pengine Mali na fedha kumshawishi mwanamke mpaka akakubali tambua tuu huyo mwanamke hakupendi, na endapo utamuoa utakuja kujuta.

Mwanamke anayekupenda huwa haombi vitu ovyo ovyo ni nadra Sana, na ikitokea ujue huyo ni extremely emergency, atajitahidi hakuudhi wala kukukwaza na atakusikiliza Kwa kila kitu, na kila mwanaume duniani anaye mwanamke anayempenda, shida ni kwamba tamaa na mionekano ya wanawake wa hovyo ndo huwa inatuponza.

Kama kuna mwanamke anakupenda na wewe unamuona kama anafaa japo sio wa viwango unavyotaka usipoteze mda weka ndani , utaenjoy Sana , na utafanya mambo makubwa , hawa wa kuhonga Sana ndo akukubali jiandae kuchapiwa Sana na kuzalishiwa watoto wasio wako.

Mengine Robert Heriel Mtibeli ataongezea
 
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa , nawaasa vijana wa kiume , usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time , Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda.

Kama unatumia nguvu nyingi Sana pengine Mali na fedha kumshawishi mwanamke mpak akakubali tambua tuu huyo mwanamke hakupendi , na endapo utamuoa utakuja kujuta.

Mwanamke anayekupenda huwa haombi vitu ovyo ovyo ni nadra Sana , na ikitokea ujue hyo ni extremely emergency , atajitahd hakuudhi wala kukukwaza na atakusikiliza Kwa kila kitu , na kila mwanaume duniani anaye mwanamke anayempenda , shida ni kwamba tamaa na mionekano ya wanawake wa hovyo ndo huwa inatuponza.

Kama kuna mwanamke anakupenda na wewe unamuona kama anafaa japo sio wa viwango unavyotaka usipoteze mda weka ndani , utaenjoy Sana , na utafanya mambo makubwa , hawa wa kuhonga Sana ndo akukubali jiandae kuchapiwa Sana na kuzalishiwa watoto wasio wako.

Mengine Robert Heriel Mtibeli ataongezea
Binadamu ni kiumbe kisichotabirika kwa 100%.

"Hayana mwongozo" cc Smart911...[emoji142]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wapo vijana humu wanaojiandaa na ndoa, nawaasa vijana wa kiume, usitumie nguvu nyingi Sana kumshawishi mwanamke unayempenda ili aridhie kuwa na wewe... unaweza tumia nguvu ya pesa kumshawishi ili umtumie kama part time, Ila kwenye swala la ndoa usidhubutu kabisa kuoa mwanamke asiyekupenda.

Kama unatumia nguvu nyingi Sana pengine Mali na fedha kumshawishi mwanamke mpaka akakubali tambua tuu huyo mwanamke hakupendi, na endapo utamuoa utakuja kujuta.

Mwanamke anayekupenda huwa haombi vitu ovyo ovyo ni nadra Sana, na ikitokea ujue huyo ni extremely emergency, atajitahidi hakuudhi wala kukukwaza na atakusikiliza Kwa kila kitu, na kila mwanaume duniani anaye mwanamke anayempenda, shida ni kwamba tamaa na mionekano ya wanawake wa hovyo ndo huwa inatuponza.

Kama kuna mwanamke anakupenda na wewe unamuona kama anafaa japo sio wa viwango unavyotaka usipoteze mda weka ndani , utaenjoy Sana , na utafanya mambo makubwa , hawa wa kuhonga Sana ndo akukubali jiandae kuchapiwa Sana na kuzalishiwa watoto wasio wako.

Mengine Robert Heriel Mtibeli ataongezea

Mwenye kusikia na asikie.
Dunia ya SASA imegeuka hii
 
Mnaongea tu bila kufikiri upande wa pili ,kama huna hela mwanamke atakae kupenda havutii chochote sio sura wala umbo , unahamasisha vijana waoe wanawake wabaya wa sura na umbo ili wakizipata waje wawatese kihisia watoto wa watu, mimi nashauri kijana oa pisi ambayo moyo wako umeridhika nayo ata kama umeivutia kwa pesa , mwonekano mzuri au utanashati wako , hakuna mwanamke atakupenda tu bila kigezo chochote , usioe kisa umemwonea mwanamke huruma , Mwanamke wengi wanateseka baadae kwa kuolewa na mwanaume ambae yeye ndio kampenda kwa sababu mwanaume kipndi hicho kisu chake sio kikali anaamua tu kumuoa huyo , siku akipata makali ( pesa) atatafuta mwanamke wa ndoto zake pis kali , na kutesa kiumbe cha watu ,japo sio kwa ubaya ni nature tu imeamua.
 
Huu ushauri kama huu niliupata mwaka jana kwa Mzee mmoja na nilishaufanyia kazi.

Waambieni hao
 
Ndoa na kuoa ni ufala ni maamuzi endelevu ya kikao chetu, tuwanyandue tuwape mimba na tuwawezeshe waendelee kulea watoto basi. Otherwise mnaoa wote ni wafuasi wa popobawa
 
Mnaongea tu bila kufikiri upande wa pili ,kama huna hela mwanamke atakae kupenda havutii chochote sio sura wala umbo , unahamasisha vijana waoe wanawake wabaya wa sura na umbo ili wakizipata waje wawatese kihisia watoto wa watu, mimi nashauri kijana oa pisi ambayo moyo wako umeridhika nayo ata kama umeivutia kwa pesa , mwonekano mzuri au utanashati wako , hakuna mwanamke atakupenda tu bila kigezo chochote , usioe kisa umemwonea mwanamke huruma , Mwanamke wengi wanateseka baadae kwa kuolewa na mwanaume ambae yeye ndio kampenda kwa sababu mwanaume kipndi hicho kisu chake sio kikali anaamua tu kumuoa huyo , siku akipata makali ( pesa) atatafuta mwanamke wa ndoto zake pis kali , na kutesa kiumbe cha watu ,japo sio kwa ubaya ni nature tu imeamua.
Kwa hiyo wadada wazuri hawana hisia za kupenda mpaka mwanaume awe na hela min -me
 
Mnaongea tu bila kufikiri upande wa pili ,kama huna hela mwanamke atakae kupenda havutii chochote sio sura wala umbo , unahamasisha vijana waoe wanawake wabaya wa sura na umbo ili wakizipata waje wawatese kihisia watoto wa watu, mimi nashauri kijana oa pisi ambayo moyo wako umeridhika nayo ata kama umeivutia kwa pesa , mwonekano mzuri au utanashati wako , hakuna mwanamke atakupenda tu bila kigezo chochote , usioe kisa umemwonea mwanamke huruma , Mwanamke wengi wanateseka baadae kwa kuolewa na mwanaume ambae yeye ndio kampenda kwa sababu mwanaume kipndi hicho kisu chake sio kikali anaamua tu kumuoa huyo , siku akipata makali ( pesa) atatafuta mwanamke wa ndoto zake pis kali , na kutesa kiumbe cha watu ,japo sio kwa ubaya ni nature tu imeamua.
Haimanishi kuoa mwanamke anayekupenda inamanisha huna hela , no no noooo... Money can buy women attention but not her feelings, hata pisi kali hapa mjini zina vijana zinaowapenda ambao hawagaramii hata 20K per month , Ila hao vijana wanakula mzigo vzur tuu sambamba na wewe unayejidai kumiliki hyo pisi , unagharamia everything kuanzia macho matatu mpak appartment....

Neno moja tuu , mwanamke unayetegemea kuishi nae Lifetime Kwa shida na Raha make sure feeling zake zpo kwako , hapa Dar es salaam ndoa zimekuwa ngumu sababu vijana wengi wanatumia nguvu ya pesa kufanya diversion feelings za mwanamke kitu ambacho ni totally impossible , hawezi kukukataa na utamweka ndani Ila lazima atakuburuza tuuu
 
Very true 👍
 
Mababu, Mabibi & Wazazi wetu wameoana out of love-most of them wenza wamechaguliwa but ndoa zao zimedumu na asilimia kubwa hawakuchepuka.
Sema wanawake wa karne hii wameharibika tamaa na umalaya umetamalaki.hadi kufikia kuolewa maisha tembea na Wanaume zaidi ya 30-50 uke umetumika mpaka mishipa ya uke haibani,Mwanamke wa namna hiyo atudumuje kqenye ndoa?
 
Back
Top Bottom