Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

Kwa mtu mwenye mtaji wa kati unaona bora ajenge apangishe aje auze
Au awe ananunua maeneo anauza na kununua maeneo mengine.
 
Kwa mtu mwenye mtaji wa kati unaona bora ajenge apangishe aje auze
Au awe ananunua maeneo anauza na kununua maeneo mengine.
Mkuu nunuwa ardhi bei chini weka.
Baada ya muda uza.
Nyumba ya kupangisha ni kuzika pesa faida kidogo.
Hii code huwezi ambiwa na mtu yeyote,
Ila kuna watu wanafanya biashara ya ardhi na wanapata faida sn tu
 
Kwa mtu mwenye mtaji wa kati unaona bora ajenge apangishe aje auze
Au awe ananunua maeneo anauza na kununua maeneo mengine.
Jenga nyumba pangisha. Hapo unetunza hela yako kwa future yako na watoto wako. Kama biashara tafuta biashara fanya hio kuuza viwanja wala sio biashara ya maana kivile. Ladba wanye kampuni wanaonunua huko nje ya mji porini wakate 20"20 wauze kiwanja 2m kwa mkopo watu wakuiipe laki laki kila mwezi.
Unafikiri kununua kiwanja sehemu ya maana mchezo,
Yaani ununue kiwanja nje ya mji 10m leo usubiri miaka 10 uuze upate 60m si afadhali ujenge wakati unasubiri.
 
25M unatoa vyumba vingap kama kiwanja kipo?
 
Nimesisitiza kama hela ipo. Vijana enye hela za Ziada. Maanake Wana source ya hela mfano biashara. Faida wamawekeza huku
 
Kalagabaho au makalao

Ahsante Fada.
 
lodge raha yakee uwe na zaidi ya moja na uwatembezee moto kweli wafanyakazi wakike wateja wanajazana mpaka unashangaa
Mpwaa huu upepo wa nyumba za mirathi kuuzwa
Naona kumepamba moto
Kila mtu anataka kufa na chake πŸ˜„

Ova
 
hivi natoka moshi mahakaman
Kuna shetwan tumrzaliwa nao wanaoomaa maliyamzee yaooo

Wameshindwa 3 times..hela moja imetoka wanagoma kusaini mapema tu.ewanyofoa mpwa akabaki kakayetu mmoja...kafungua acc tunasubiria

Wameambiwa wakitala waende bank zikiingizwa..hawana hamu
 
Mambo ya mirathi syo shuguli ndg tena kama hakuna maelewano
Kuna sehemu/familia naijuwa iko obay sshv wanaenda mwaka wa 10 mambo ya mirathi hahaha πŸ˜†
Kuna matumbo mawili
Kuna tumbo ambalo wao miaka mingi wamenufaika napo na Kuna tumbo lingine hawajanufaika napo
Basi huo mtiti si wa kitoto

Ova
 
Wekeza kwa malengo! Kwa ajili ya baadae-na kukusaidia majukumu. mfano mdogo huu kwa kijana mwenye malengo ya kuwa na familia bora
Unawekeza nyumba ya kupanga standard 2BR-gated-hukosi 300k kwa mwezi(3.6M kwa mwaka mtoto anaenda shule bora ya basi la njano).
Kodi yote utakayopokea unaihamishia kwenye ada ya mtoto--issue ya kulipa ada kwako inakuwa haipo tena kwenye hesabu zako.
Fanya hivi kwa idadi ya watoto--utaendelea kuyafurahia maisha.
Sio watoto tu--unaweza ukawekezea kwa ajili ya jambo lingine lolote.
mf
House 1-Mtoto 1
House 2-Mtoto 2
House 3-Mtoto 3
House 4-Kulea wazazi/Vacation/Matumizi ya nyumbani the list goes on.
Ukifanikisha hili --ukazitengenezea account--wewe ni mtu wa kufanya transfer tu--ada,na vitu vingine vidogo havitakusumbua pale familia inapokuwa kubwa.

For the case of mtoto--akikua --unaweza kumpa kila mtu ya kwake(legally through a family trust--->>unaandika ni kwa ajili ya wajukuu zako--hivyo itabaki ndani ya familia na haitauzika kirahisi mpaka truetees wako wote wakubaliane)--thamani inakuwa juu zaidi,na elimu umeshawapatia.
Hata kama haupo--unakuwa umeweka mzingi bora zaidi kwa familia yako na kizazi chako.
 
Maoni mazuri sana,mwenye sikio na atege na kusikia,Kweli inalipa!Mzee Mimi ningekuwa mgeni wa naniii!Fainali sio uzeeni tuu .
 
Yote mawazo mazuri,cha msingi iwe nyumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…