Vijana kuweni makini na UTI Sugu

Sasa msife wengi ngoja niwape dawa ya asili.
Tafuta majani ya mmea wa mzungwa. Saga upate juice yake nusu glass. Kunywa asubuhi na usiku unalala kwa wiki.
Alafu chukua kijiko cha baking soda mf chapa simba, changanya na glass ya maji. Kutwa mara 3 kwa wiki.
Kila maelezo yana kazi yake.
Mzungwa unapambana na wadudu vizuri sana. Ni chungu sana unaweza kuwa na ndizi mbivu karib ukishakunywa.
Baking soda hukwangua utando wenye wadudu wa UTI kwenye mishipa maana maji hufeli kufanya kazi hiyo kikamilifu.
 

Attachments

  • images.jpeg.jpg
    63.4 KB · Views: 63
Hapo hakuna cha UTI sugu marehemu hakutaka tuu kuwaambia aligonoka na super gono..
Hakika hili lawezekana.

Wengi wana super gono ili wanaliita UTI sugu.

Ngono zembe ni hatari mno
 
Hakika hili lawezekana.

Wengi wana super gono ili wanaliita UTI sugu.

Ngono zembe ni hatari mno
Kabisa kabisa best...hakuna uti isiyotibika ukiona hivyo ni mixed bacteria wapo hilo eneo wameshakula hasa magonjwa ya ngono...siku hizi vijana wamejisahau sana ...na hyo anal sex wanavyoiendekeza watakufa sana..
 
Asante.

Power Safe(Ceftriaxone)zinadunda

Azuma ndo kabisa.
Mwenye uti sugu kuna namna ya kumrudisha pewersafe. Antbio na dawa flan hiv unameza packt nzima kwa wakat mmoja. Baada ya hapo unajisikia kama kufa kufa then kesho yake unadunda kama mtu alofufuka.
Mwenye u.t.i sugu kwa msaada tutafutane.

Ikumbukwe mi di daktari. Si muuguzi ila naguswa tuu na hili janga.
Ntakupeleka kwa daktari na utapona kabisaa kwa gharama za kawaida kabisa
 
Kitu kama 30000 au 20000
Huu ujinga mnaolishana utawauwa .
Now mimi kwenye social medias nimeacha hata kutoa utaalamu wa kitu halisia maana Tanzania hata mwalimu , askari , mganga wa kienyeji na mpambanaji wa mtaani ni daktari .

Ndugu zangu mambo ya afya hayaitaji siasa wala ujuaji wa kupeana mtaani mtakufa muishe .
 
Naona watu siku hizi mnaumwa magonjwa ya zinaa mnaambiana UTI sugu...acheni michezo michafu ya hatari...zinaa inaua
 
Daktari
Utaongea ila kwenye social media za kibongo hata uposti vyeti vyako ili wajue unaongelea utaalamu sio siasa bado hawatakuelewa sababu wanakuwa washalinshana ujinga huko mtaani .

Ndiyo maana usishangae mgonjwa kuja alafu akakupa vile anajisikia ila akakukomandi umpime kitu fulani na pia utoa dawa anayoitaka yeye .

Mimi naishiaga kuwatimua na kuwaambia waende kwa madaktari wao waliowazoea.
 
Unameza dawa pakti zima 😆 k%@#m#£
 
Tusichanganye UTI na magonjwa ya ngono. UTI haiambukizwi kwa njia ya ngono. STD ndio zinaambukizwa kwa njia ya ngono.
Kama wewe ni kidume na haiambukizi kwa njia ya ngono nenda kamle kavu demu mwenye UTI halafu tuone namna ambavyo hauwezi ambukizika.
 
Kweli kabisa mkuu
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…