Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki.
Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta akupe lift kurudi nyumbani. Si kila mtu ana uwezo wa kununua gari lakini kuepisha matatizo muwe mnatoa ushirikiano wa usafiri siku kama hizi. Ikiwezekana chukua uber kuepuka vilio.