Vijana mfikirie usafiri wa wake zenu kwenda na kurudi kazini hasa siku za mvua

Mvua na maji ya Jangwani yake IST inakuwa na thamani ya Range Rover. Acha ubahili kwani uber bei gani?
Kama ela ipo anatembea na range yake
Ila ndo izi za kuinga lazima aendane na uhalisia pesa sio Kila kitu lazima watu wajue ilo
 
dah! wakubwa wanafaidi sana, kumbe ukitoa tu lift unaweza pewa tam tam
 
Why unamsema shemeji yetu indirectly?

Si bora tu umchane aelewe tu kuwa unapata taabu wakati wa mvua?
 
Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki.

Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta akupe lift kurudi nyumbani. Si kila mtu ana uwezo wa kununua gari lakini kuepisha matatizo muwe mnatoa ushirikiano wa usafiri siku kama hizi. Ikiwezekana chukua uber kuepuka vilio.
Ndio maana jana niliona mabadiliko kwako! Sasa ngoja
 
Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki.

Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta akupe lift kurudi nyumbani. Si kila mtu ana uwezo wa kununua gari lakini kuepisha matatizo muwe mnatoa ushirikiano wa usafiri siku kama hizi. Ikiwezekana chukua uber kuepuka vilio.
Huku ni kujustify tuu umalaya hakuna lolote
 
Back
Top Bottom