Vijana mfikirie usafiri wa wake zenu kwenda na kurudi kazini hasa siku za mvua

Kama analiwa aliwe tu ila nsijue usiwataftie sababu mvua zipo tangu dunia inaumbwa ni tabia tu ndo itampeleka uko kama anajiamini nakujikubali sio wakupelekeshwa na lifti ya IST

Apa nimetoa factor zote zile constant
Wanawake wa siku izi wanapenda mteremko mkuu. Wa enzi za dunia kuumbwa usiwalinganishe na hawa wa leo. Na anaona kwamba kila mtu ana gari kasoro mume wake. Na kama ukimbeba kwa IST leo na kesho akapata mwenye range rover au V8, anamuacha wa IST.
 
Mtu ukioa leo, ujue ni lazima umpatie furaha mkeo na asiwe na stress kabisa za maisha magumu nk. Ama sivyo mtu uache kuoa kabisa. Na ndio wengi tena wenye hela zao nzuri tu.. wanaamua ivyoo, manake kuacha kuoa kwanza hadi kieleweke.. kama ndg yangu Extrovert. 😂😂
 
Tena mbagala kwa sasa kubavokuwa na foleni wanavojengaa ...ongezea tabu ya mvua ikinyesha folen inakuwa mara mbili zaidi mbona mnamalizana kwenye folen
 
Wanawake wa siku izi wanapenda mteremko mkuu. Wa enzi za dunia kuumbwa usiwalinganishe na hawa wa leo. Na anaona kwamba kila mtu ana gari kasoro mume wake. Na kama ukimbeba kwa IST leo na kesho akapata mwenye range rover au V8, anamuacha wa IST.
Hili nalo ni neno
 
Tufikilie sisi usafiri wako wewe bichwa lina kazi gani[emoji290]
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…