Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Kwa nilipo kimaisha ni kheri nikae da kuoa mwanamke maskini mwenzangu. Hivi mnajua how pathetic it becomes mwanaume ukiwa chini kipesa
 
Kupambania kufanyaje?

Huyo msukuma ni smart, msomi, anamiliki titles, he has been in places (big tables) sio ajabu akawa amekutana na mtoto wa Rais kwenye hizo meza, tofauti yao ni familia wanakotokea.
Yah, ila kusema he earned it ni sawa na kumdogosha. He did not earn it... The marriege earned him. It was a result of his status
 
Kwa nilipo kimaisha ni kheri nikae da kuoa mwanamke maskini mwenzangu. Hivi mnajua how pathetic it becomes mwanaume ukiwa chini kipesa
Inategemea value zako kwenye maisha, some people don’t have one.

Lakini bahati ikikudondokea kama hivi, una asses position yako itakuwa ipi kwenye hiyo familia then you jump in.
 
Inategemea value zako kwenye maisha, some people don’t have one.

Lakini bahati ikikudondokea kama hivi, una asses position yako itakuwa ipi kwenye hiyo familia then you jump in.
Je, kwani ni mpaka family yote ishabiriane na values zako?
Mm Sidhani, kama mwanamke anafaa na kuwa na hizo values unaweza kuendelea tu.. Kwani unaolewa au kuoa familia au ukoo?
 
Kwa faida ya vijana WENGI weka wazi waende maeneo ganii..

Kuna watoto wa ki bosi bosi kwenye malezi wamedekezwa mno Kuna wanaume wengine kina sisi HATUWEZI Kuwa CHAWA.

dini yangu ya kikristo siwezi ibadilisha kirahisi.. Naenda kinyume na wewe kabisa kwanini nini pretend ni ngumu mno

Mwisho wa siku nianzishe mchepuko familia ya JK WANIPIGE RISASI

ephen_ aisome 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…