Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Je, kwani ni mpaka family yote ishabiriane na values zako?
Mm Sidhani, kama mwanamke anafaa na kuwa na hizo values unaweza kuendelea tu.. Kwani unaolewa au kuoa familia au ukoo?
Meaningful marriage ni institution.

Values + alignment matter the most! Kama una akili timamu huwezi kuingia familia ambayo you will be less of a person…. (in a bigger picture)

Mleta mada amedokeza kitu kidogo tu cha muhimu, sehemu za kujiattach (for those who can)
 
Meaningful marriage ni institution.

Values + alignment matter the most! Kama una akili timamu huwezi kuingia familia ambayo you will be less of a person….
Then fvck them
Mimi kama leo ♌ nikipenda nimependa I don't give a damn about family na values zao.. Nachukua mali yangu napita kushotoo.
Tutakutana kwenye family reunion

Kama ni hivyo utakuwa unapata right person, wrong family
 
Then fvck them
Mimi kama leo ♌ nikipenda nimependa I don't give a damn about family na values zao.. Nachukua mali yangu napita kushotoo.
Tutakutana kwenye family reunion

Kama ni hivyo utakuwa unapata right person, wrong family
Kupenda kwako hakukufanyi uwe na uwezo wa “kuchukua” Kuchukua kunafanyika katika hizi familia zetu za kawaida.

😅😅😅
 
Unaboa
 
Naungana na mtoa mada. Marriage is a business, not a love story. Ndio maana mnasainishana mkataba. Kwahiyo ni muhimu pia kwa mwanaume kuzingatia business partner wake anakuja na leverage ipi kwenye mradi.

Jux leo hii ni superstar uko Nigeria. Nchi yenye population kubwa Afrika na ndio power house ya mziki hapa Afrika. Haikutokea by coincidence, ni hesabu ambazo alishapiga kwa kumuoa Priscillah.
 
Ukiingia kwenye ndoa na driven motivation ikawa as you think 🤔

Utapigwa 5-0


Nb. Mapenzi yanatakiwa ku be driven na Love na si vinginevyo.
 
Ukiingia kwenye ndoa na driven motivation ikawa as you think 🤔

Utapigwa 5-0


Nb. Mapenzi yanatakiwa ku be driven na Love na si vinginevyo.
Ndoa sio hadithi ya mapenzi, ni biashara. Unajua kuna kitu kinaitwa talaka? Saini moja tu unapoteza makazi ya kuishi, pension yako, mali zako, in most cases mpaka access ya kuwaona watoto wako. Katika hali kama hiyo ni lazima mwanaume pia afanye analysis of risk-reward ratio. Mwanamke hana tangible contribution, all she offer is her physical existence. Sio salama sana kusainishana nae ule mkataba wa ndoa
 
Nilicho gundua ndoa sio kitu cha Kila MTU.

Upo biased kwenye hili jambo.. siku zote ndoa ikijengwa kwa misingi ya upendo na maadili kitakacho tenganisha ni kifo

NB. NIMEKUA SHUHUDA KWA MIAKA YANGU HII 38'S Mimi ni product ya ndoa NIMEKUA nikimuona baba na mama wakiishi ndoa CHANGAMOTO zipo ila

MWEZI wa sita baba alifariki wakiwa na mama Wana anniversary zaidi ya 45's ya NDOA.. mama nilikua nikimwangalia analia Mimi pia nikawa NALIA mama anasema G wangu Sito kuona tena
 
We jamaa nomaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…