Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Kwahiyo unaacha connection ya maisha ww unataka mafuta na maji ya upako.
 
hahha..vijana bwana...mi tulianza na huyu wangu from ziro ..leo tumekuwa kivuli kwa wengi...siri ni kufanya kazi ..kupata maarifa yatakokufanya uwe the best version of yourself....tambuen hilo..wote mnaowasifu wameteseka na kupata maarifa yaliyowainua na kuwadikisha hapo...
Kwa hiyo pambaneni..unlock your potential na maisha mtayapatia..huwezi kuwa mchoma mkaa halafu ukutane na bint kaliba ya charlene..au boda boda halafu ukutane na bint yangu Blanca au Bianca ambao exposure,elimu na mar8fa waliyo nayo ni ya level za juu sana..so level yako ndo itadetermine ukutane na nani na wapi...japo kwenye maisha kila mtu na bahati yake....
 
Maada ya mleta maada ni nzuri ila Kuna vitu havijui

Kijana aliyeoa kwa mwinyi hakubalisha dini Bali walifunga ndoa kanisani tena st Joseph na yule binti wa mwinyi hakuwa mwisilam Bali alikuwa mkristo kwa dini ya mama yake
Ila mada hii sio ya kidini
Mfano wa kidini ulitumika kama reference maana kuna wafia dini wanaacha wanawake au wanaume potential kwa kigezo cha dini

I find them not matured

After all ndoa ya mtoto wa mwinyi ilifungiwa msikitini, hata ikifungiwa church kwani kuna shida gani

Ifike mahali watanzania muwe matured
Dini yoyote isiwe kizuizi cha ku unlock your life code kwa sababu ukweli wa dini bado ni fasih nzito

What you are supposed to hold ni your spirituality connatation only

Ukiendekeza dini kuna opportunity nyingi utazishindwa

Worst part dini ni story za watu na maisha ya watu km ww , don’t take them serious
 
Kama upo vema tutakuja kujiattach hapo
 
Kijana aliyelewa dini sana huwa na upofu wa mambo mengi...hata yaliyo ndani ya dini yake huwa hawayaelewi....usipoteze mda wako kwao...
 
Unataka offer za bure.

Wakukupa yupo. Na mafuta yapo.


View: https://youtu.be/thcdpdozJUg?si=0sgYT7vHvQH-5qkd
 
Baba mkwe tumsifu YESU KRISTO
 
Kama upo vema tutakuja kujiattach hapo
Hahaha..karibuni lakn asije kijana asiye na maarifa,sitaki kijana beta bali alfa,sitaki kijana asiye na uelewa mpana wa maisha na nguvu ya uchumi wa kidunia,kijana asyekuwa na skills za maana zinazomfanya awe bora huyo hana nafasi...vijana wengi wa kitanzania akkkutana na mwanamke mwenye akili na anajiwwza kiuchumi wengi huwa hawajiamini na huona mwanamke anamcontrol....kijana kama hajiamini asije kabisa....unadhan wewe ungekuwa kama hawa vijana wa hovyo ungepata connection WHO?....
 
Kufinyiwa Kwa ndani auco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…