Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Kabisa umeongea kweli.
mi baba alikuwa kwenye position ya kazibnzuri sana ,,, mama mfanyabiashara.
Kamvalisha mama mkapa vitenge na wabunge wengi sana.
Grocery yetu ilikuwa ndio parking bus ya wanamuziki wa TOT. kwa hiyo nakuelewa.
mimi niliamua kupenda pesa,,, na nilipata wanaume wenye pesa mpaka kuolewa na mwenye pesa.
Penzi la kimaskini mimi sijawahi kulielewa.

Tuwaache vijana wapambane kivyovyote umaskini ni laana.
 


Royal Family zingine wanakukaribisha kwenye Familia makusudi ili wakipate kile wanachotaka kutoka kwako.

Ukishawapea hicho wanachotaka wanakuuua na mchezo unaoishia hapo.

USIKUBALI Kuoa Royal Family oa familia masikini yenzako ili baadae mtoboe Maisha pamoja
 
wanachoshauriana kukifanya hawa vijana sio ajabu, women have been doing this for ages
 
Ndo maana wanaume wengi siku hizi wanaingia kwenye ushoga, mwanaume ukishawaza u-date na mwanamke flani ili ufaidike kiuchumi, nafikiri una hatua chache sana za kuja kuwa shoga

Nature ya mwanaume rijali haipo hivyo kabisa, nature ya mwanaume rijali ni unamuona binti unavutiwa na uzuri wake k.v sura, shepu, na ujana wake, unaongea nae ukiridhika na tabia yake unaenda kwa wazazi wake unamtolea mahari unamleta kwako anakua mkeo, unafanya kazi upate hela ya kumhudumia kwa upendo yeye na watoto mtakaopata, huku yeye akisaidia mambo mengine kwenye familia, hivyo mnakua pamoja binti kiziwi
 
Imagine demu kwao ana harrier na ana bonge la makebo, halafu kwenu kuna baiskeli na una kipara. 🥲🥲
 
The so called familia za kishua wengi wao sio wajinga, hua wanawaza huyu mtu kaoa/kaolewa kwetu sababu ya mali tulizo nazo, hata kama kiuhalisia umeingia kwenye ndoa sababu ya upendo

Mgonga ulimbo ujiandae kukumbana na yatakayokukuta baada ya kuingia kwenye the so called royal families leo dada
 
Haha royal families wanawazaga huyu mtu kaoa/kaolewa kwetu sababu ya hela tulizo nazo, mtoa mada anafikiri royal families huwa hawa-reason mambo kinondoniilala
 
Nisubiri Yesu aje aniokoe mara ngapi?.

Ninyi ndio mnaojipumbaza kwamba pesa ndio kila kitu na mpo tayari kufanya chochote ili mradi mpate pesa bila kujali hatima zenu!.

Nataka pesa nyeupe,sihitaji pesa nyeusi mimi.
 
 
Wewe acha kupoteza vijana. Furaha ya ndoa ni kuishi na mtu unayempenda. Ukioa kisa mali ndoa yenyewe haitadumu na kama itadumu utakuwa kama uko kifungoni.
 
Uzi UFUNGWE, MZEE UMEPIGA KWENYE MSHONO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…