Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Watu aina yenu huwa hamjui ya kuwa these rich people have minds too..

Kuji attach kwa mtu is nothing but a losing game... Tumeona wasanii na celebrities.. Ndoa zao hazidumu because nazidumu kwasababu hakuna connection baina zao na wale wanadate nao...

Ukisha ingia kwenye mahusiano with a parasitsm mentality lazima itavunjika tu.. Lazima kuwa na mutual benefits...

Let alone mapenzi hayako hivyoo
 
Soma uelewe
 
Dunia haifanyi kazi hivi rafiki yangu!!!!
 
Unakabia kwa juu sana 🤣
 
Vipi wanawake nao wanawaza hivyo hivyo? au ndio kama wanavyosema wenye lugha yao "men are in love, women are in business"
 

Nisubiri Yesu aje aniokoe mara ngapi?.

Ninyi ndio mnaojipumbaza kwamba pesa ndio kila kitu na mpo tayari kufanya chochote ili mradi mpate pesa bila kujali hatima zenu!.

Nataka pesa nyeupe,sihitaji pesa nyeusi mimi.
Hatma gani wewe

Huna Hatma yoyote . Utakufa na kuoza kama viumbe vingine….. You are not so much important

Yani unaamini kabisa kwa maisha unayoishi ndio una Hatma nzuri 🤣

Hatma yako ni now …. Ukiishi kwenye ufakiri hiyo ndio hatma yako huna Hatma nyingine

Unless uje na dalili alieona hiyo hatma
 
Dedicated song: UMASIKINI WANGU-Q Chillah
 
Mkuu kwani ugomvi?,Hili si ni suala la kusubiri ujionee mwenyewe ili uamini?.
 
143.9B x 4.2 odds ... Jamaa amejua kubet, Tena ameweka GG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…