Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

Jamani Mbona wema tupo? Tupo tunaojielewa na kujiheshimu msitufanyie hivyo.

Kwa jinsi ulivyo na hasira ni wazi umelizwa na kijana wa 90’s Mkuu, tusamehe wote!
Labda alienda kutafuta mchumba tinder na badoo mwisho wa siku akalamba garasa 😁😁
 
Go to hell kizz
 
90's ni kizazi kilichokutana na utandawazi, wanaitumia fursa effectively! Kuhusu machafu uliyoyataja yamefanywa na kila kizazi ila kwa 90's haya mambo yamekua exposed sana kutokana na utandawazi.
 
Labda alienda kutafuta mchumba tinder na badoo mwisho wa siku akalamba garasa 😁😁
Huko tinder nilikua nafanya research Kuja kiini Cha matatizo ya hapa nchini kwetu na Dunia Kwa ujumla nikagundua hiki kizazi Cha 90 ndio kiini Cha mambo mabaya
 
Asilimia kubwa ya kizazi Cha 90 wengi wanajifanya wamezaliwa 2000. Reference nenda tinder au badoo angalia walio kwenye huo mri utagundua wengi wao ni vikongwe vya 90 ila vimeamua kuwachafulia wa 2000

Ni jinsi gani ulivyo mzee wa hovyo umejidhihirishia
 
Huko tinder nilikua nafanya research Kuja kiini Cha matatizo ya hapa nchini kwetu na Dunia Kwa ujumla nikagundua hiki kizazi Cha 90 ndio kiini Cha mambo mabaya
Tinder na badoo uliijuaje mkuu.
Yani ukafanye research dating sites ambazo ni sawa na kuenda kufanya survey ya true love kimboka au riverside ??....

Halafu watoto wa 90 wanakuwaje chanzo cha matatizo ilhali walizaliwa na hivyo vizazi vilivyopita??...

Kwa nini usilaumu vizazi vilivyopita kwa parental failure

By the way siamini upo serious mkuu kwa hiyo conclusion 😁😁
 
WATOTO WENGI WA SINGO MAZA
NI MIAKA HIYO FASHENI YA KUZAA NA KUTUNZA MTOTO MWENYEWE ILIANZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…