Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #41
Kama umewahi kuishi kusini au kuishi na watu wa kusini unajua nini nazungumza hapa.tenda wema nenda zako usingoje shukrani
ila watu wa kusini ndivyo hulka zao ukimpa kitu au msaada hawezi sema asante
anaona kama ni halali kwake kupata hicho alichokitaka kutoka kwako na ni stahiki yake
Mjinga sana huyu dogoAmekugeuza dalali wa ajira a.k.a recruiting agency
Weka kiongozi tuoneMjinga sana huyu dogo
Sijui niweke chats zake hapa muone alivyo mjinga
Hawa vijana wakike na wakiume mostly ni wajinga sanaAfadhari wewe huyo uliemsaidia bado yupo kazina na hakuna kashifa yeyote ili iliyotokea, sasa mimi nilimpambania mtoto wa dada binamu ktk ukoo na ukizingatia elimu yake ni fomu 4 mwenye D 2 na akapata kazi nzuri tu mshahara laki 5, lakini cha ajabu kaenda kazini siku mbili tu na kuacha kazi hadi dada (mama yake mzazi) alidondosha kilio na machozi baada ya kuona binti yake kagoma kwenda kazini.
Leo hii nimepita ktk kampuni fulani wameniomba niwatafutie mfanyakazi nikakimbuka lile sakata nikasema moyoni simtafutii tena mtoto wa mtu kazi nilikumbuka issue ya yule binti alivyonidhalilisha baada ya kuacha kazi.
Mtu alikuwa juu ya mawe umemfanyia mpango hajakumbuka hata ile brother Asante kilo ya sukari hii hapa unywe chai na watoto
"Tenda wema, nenda zako" Wahenga walisema.Leo kanitext nilijua anataka anishukuru arudishe kiutu uzima ile pesa niliyomtumia kumbe anataka nimpigabie ajira ofisi fulani ya umma.
nawapatavizuriKama umewahi kuishi kusini au kuishi na watu wa kusini unajua nini nazungumza hapa.
Watu wa kusini hata kuomba hatujui.
Utasikia mjomba una pesa nirushie tigopesa?
Unakasirika muda mwingine unafanya tu kwakuwa ni ndugu
Siyo kila king'aacho ni dhahabu. Kuna watu wanalipwa kiduchu,ila mazingira safi. Kuna wengine wanapokea kiasi kikubwa,ila mazingira magumu.Kama anafanya vizuri na ajakuaabisha msaidie tu, kwani wema uliomfanyia ulikuwa na makubaliano ya malipo?
Alipaswa akushukuru kama unavyosema na kg ya sukari, ila asipofanya hivyo haliwi kosa au sababu ya kutomtendea wema.
Sio wote wenye huo ufaham, tumelelewa tofaufi na mazingira tofauti, tenda wema kama hatokuaibisha, kuna mtu atawatendea wema wanao huko mbele.
Wapi kadai malipo?Wewe wa hovyo sana ungenyamaza tuu. Dunia hii kumuunganisha mtu kazini ni jambo la kuhitaji malipo? Huyo dogo moyoni anakuona kama mkubwa wake ndiyo maana kakukumbuka tena.
Inasikitisha Sana upo University lakini akili huna.Huyu kijana kafeli sana vyovyote vile shukrani kwa mtu aliyekutoa juu ya mawe ni lazima na ndio ustaarabu.
Aisee mie shida yangu nadaiwa direct cost Tsh 243,750 nipo udom hapa semister inaenda kukata sielewi na sijakamilisha usajili noma....
Control number 994461469086
Mchango Bora kabisaKama anafanya vizuri na ajakuaabisha msaidie tu, kwani wema uliomfanyia ulikuwa na makubaliano ya malipo?
Alipaswa akushukuru kama unavyosema na kg ya sukari, ila asipofanya hivyo haliwi kosa au sababu ya kutomtendea wema.
Sio wote wenye huo ufaham, tumelelewa tofaufi na mazingira tofauti, tenda wema kama hatokuaibisha, kuna mtu atawatendea wema wanao huko mbele.
Hello!
Huyu dogo kama atakuwa humu atasoma bandiko hili maana si baya kivile.
Imepita mwaka sasa tangu nimuunganishe kwenye ajira (sekta binafsi) kama dereva wa malori. Kampuni kubwa tu hapa Bongo. Anapokea around 500k -800k kwa mwezi.
Sasa ile stori na wenzake anapata kujua fursa zaidi kwenye kampuni zingine.
Si unajua stori za wafanyakazi kupenda kuambiana sehemu B wako vizuri kimaslahi.
Lengo langu si kutazamia malipo kwake, nilimsaidia tu , kilichonishangaza bado anataka tena connection kutoka kwangu anashindwa kujisimamia afike huko anakowaza.
Sasa akisikia kuna sehemu wanalipa vizuri zaidi ananipigia simu kutaka nimuunganishe ajira huko.
Mtu alikuwa juu ya mawe umemfanyia mpango hajakumbuka hata ile brother Asante kilo ya sukari hii hapa unywe chai na watoto leo anataka umpigañie sehemu nyingine.
Ikumbukwe huyu dogo hatuna undugu , nilidanhanya ni mtoto wa dada yangu ili apate ajira maana ningesema mdogo wangu majina yangeumbua.
Sikuhitaji malipo, nilikuwa nikimpa kampani ndogo ndogo kabla hajaajiriwa. Hata alipoajiriwa kuna siku alikwama akaomba nimkopeshe pesa kidogo atalipa mwisho wa mwezi. Nikamtumia pesa zaidi ya aliyohitaji na nikamwambia siwezi kukukopesha nakupa tu free, si vyema tuishi maisha ya kukopana fedha. Leo kanitext nilijua anataka anishukuru arudishe kiutu uzima ile pesa niliyomtumia kumbe anataka nimpigabie ajira ofisi fulani ya umma.
Nadhani hii tabia ya kutojielewa sijui ni mazao ya origin ya mtu. Watu wa kusini shukrani kwetu ni kitendawili.
Ok . Badala ya kujipambania sasa unataka ubebwe tena.
Note: Mimi si dalali wa ajira na sihitaji pesa ya mtu . Nimezungumza tu kijana lazima uwe na akili timamu katika utafutaji wako wa maisha.
Unazinguka sana dingilahi ukweli ni kuwa unahitaji hela yake ya ahsante kwako .Hello!

Andika vzr kule Tanzania wakiskia connection wanajua ni mambo ya madogo wa CBE na IFM wakivunja amriMkuu na mi naomba connection
😬
Habari za siku nyingi MENEMENE TEKERI NA PERESI , wanasemaje hapo kwa wagagikoko..Unazinguka sana dingilahi ukweli ni kuwa unahitaji hela yake ya ahsante kwako .
Anyway mpe shavu kama lipo kesho yako inaweza kuwa mikononi mwake .
Nimemkumbuka rafiki yangu Nyafwili ukimuona mwambie dokta wa kijiji cha wagagikoko anamsalimia sana
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Anhaa sikuoni ndugu yangu au kuna corridor sipiti ?Habari za siku nyingi MENEMENE TEKERI NA PERESI , wanasemaje hapo kwa wagagikoko..
Mi ni product ya CBE ujue, 🤣🤣Andika vzr kule Tanzania wakiskia connection wanajua ni mambo ya madogo wa CBE na IFM wakivunja amri
Mtoto wa professor Mjema auMi ni product ya CBE ujue, 🤣🤣